Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

Hehehe!
Kaneno Mapenzi ni Kafupi lakini kana Mambo Mengi..........Bella Christian
Daaah mkuu umegonga mulemule.
....angejua kabisa ninavyompenda,
Sijawahi kupenda ila yeye ndio wa kwanza na ananizingua...
Si bora angesema mapema ameniacha nimezama...
Kutoka sasa nashindwa...nashindwa
cc Interest [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Si anajidai kua alimpenda mwanaume m1 tu naye ni first love wake ambaye alifariki. Sema diva naye muongo halafu msahaulfu. Akiwa na gk anasema anampenda kulko chochote.
Ila kumbukeni kua asilimia kubwa ya makungwi hawana ndoa kwa kuachika au kutoolewa kabisa na ndio walimu wa mapenz.
 
Huyo ni sawa Mariah Carey nyimbo nzuri za kubembeleza na kuhamasisha lakini ndo anaongoza kwa kuachika.
Marian Carey anaoleea I think this year..Hajaachika kumshinda JLo.Na sio kwamba hajui mapenzi..mapenzi yake ni matamuu munooo..ndo mana akimuacha MTU anaweweseka Go back to Nick..alikuwa anamcheat Na vimikumi Girls..akashtuka.Sobetter be informed about Mariah Carey.
 


!
!
Visingizio tu hivyo. Mweh kwa hiyo hawa wooote ni mechi za kirafiki, ai? Halafu huwa anajitangaza nao mnooo. Angekuwa anatiwa kimya kimya basi daaah
 

!
!
Mariah Carey mtam aisee... Naimajin nampa mambo huku ananiimbia touch my body
 
Daaah mkuu umegonga mulemule.
....angejua kabisa ninavyompenda,
Sijawahi kupenda ila yeye ndio wa kwanza na ananizingua...
Si bora angesema mapema ameniacha nimezama...
Kutoka sasa nashindwa...nashindwa
cc Interest [emoji24][emoji24][emoji24]

!
!
Hehehe hivi hawa watunzi huwa nao wamezinguliwa tu at certain point.
 
Inatokea hata fundi seremala hukosa kiti nyumbani kwake ingawa anavitengeneza.
 
Kwani ni mjuzi wa mahaba..?!?

Ni mtangazaji wa kipindi cha kimbea cha mahaba.
 
Hapa kuna vitu viwil kuongea na kutekeleza kile unachoongea div ni muongeaji ila kwenye utekelezaji ni ziro na ndo maana anaachika na mara nyingi watu wanaopenda kuongea kitu sana huwa kukitekeleza hawawezi kabisa
 
aswaaaa yanawashinda wengi hata uvumilivu ukawa zero
Tena mkuu asikuambie mtu sisi wanawake tunajisahau sana hasa ukishasifiwa na mwanaume kuwa k yako nzuri tamu na mambo unayaweza,,,,balaaa linaanzia hapo mengine yote unayatupa pembeni kwa kuhisi huwezi achwa kwa kua uu mcharooo
 
Nishamsikia kama four times hivi ana Sauti ya kimahaba kiasi ndio maana hadumu maana kazidisha na kudeka kiwizi wizi hata mimi natamani nimuone alivyo na kama mzuri nimuombe game japo once
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…