Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

Loveness Love Diva... Daaah, kwa ujuzi wote huu kwa nini unaachika?

Hapa kuna vitu viwil kuongea na kutekeleza kile unachoongea div ni muongeaji ila kwenye utekelezaji ni ziro na ndo maana anaachika na mara nyingi watu wanaopenda kuongea kitu sana huwa kukitekeleza hawawezi kabisa
Kwa hiyo hapa kazi hawezi kutekeleza nawaza tu[emoji3] [emoji3]
 
Huwa namsikiliza mno kwenye kipindi chake cha Ala za Roho. Hapa ukimsikiliza anaonekana ni mjuvi mzuri wa haya mambo ya mapenzi, sasaaaa kwa nini mastori mingi kwenye media na mahusiano mara huyu mara yule aseee... Au ndio ile ile Gari isiyokuwa na mzigo hukimbia zaidi. Mapenzi ni noma mno, yaani pamoja na haya yoooote huyu dada amawahi kumwagwa, zaidi ya mara tano?

Kwanini aachwe na ujuzi wote huo?
Mauno ya kwenye ngoma na kwenye 6/6 vitu viwili Tofauti.
 
watanzania kwa maneno utawaweza? lakin vitendo sifuri..hata sishangai..mapenzi yenyewe ya mwendo kasi haya! wataachika sana
 
Diva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa
Umenikumbusha cabbage.... Kesho itabidi niisake nina muda nayo kweli
 
Mnamaanisha KWA DIVA HAKUNAGA USHEMEJI!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kaka nimekumiss ujue?Acha hizo...
Fanya kunimalizia ule ubuyu [emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom