Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,526
- 3,341
Mganga hajigangiDaktari hawezi jitibu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga hajigangiDaktari hawezi jitibu,
Kwa hiyo hapa kazi hawezi kutekeleza nawaza tu[emoji3] [emoji3]Hapa kuna vitu viwil kuongea na kutekeleza kile unachoongea div ni muongeaji ila kwenye utekelezaji ni ziro na ndo maana anaachika na mara nyingi watu wanaopenda kuongea kitu sana huwa kukitekeleza hawawezi kabisa
Mauno ya kwenye ngoma na kwenye 6/6 vitu viwili Tofauti.Huwa namsikiliza mno kwenye kipindi chake cha Ala za Roho. Hapa ukimsikiliza anaonekana ni mjuvi mzuri wa haya mambo ya mapenzi, sasaaaa kwa nini mastori mingi kwenye media na mahusiano mara huyu mara yule aseee... Au ndio ile ile Gari isiyokuwa na mzigo hukimbia zaidi. Mapenzi ni noma mno, yaani pamoja na haya yoooote huyu dada amawahi kumwagwa, zaidi ya mara tano?
Kwanini aachwe na ujuzi wote huo?
Khaa! Kimekuwa Chuo Cha udereva basi kujipimia mwendo kasi.Umemsahau mheshimiwa alieoa juz kati,nae kapitaga[emoji12]
Mauno ya kwenye ngoma na kwenye 6/6 vitu viwili Tofauti.
Hicho ni kitu cha kwenda kuandika Instagram? Halafu kama uwezo wao ni wa ugali na cabbage??Ugali kwa Cabbage, hapo hata mimi namsapoti. Hata kama ni ukweni
Sasa kaja ndo uwezo wao ni ugali na cabbage wafanyeje, au akitaka kwenda awe anabeba kuku ili akifika kuku anapikwa au asiende kabisaHahahaaaa! Yaani ule uwazi uliopitiliza maana vingine tunamezeaga hatusemi.
Kajirudisha[emoji1]Yalishapita mkuu...amesharudi [emoji4][emoji4][emoji4].
Asante
Umenikumbusha cabbage.... Kesho itabidi niisake nina muda nayo kweliDiva ni fyatu inahitajika mwanaume fyatu mwenzie kuishi nae, kuna siku kaandika Instagram kila akienda ukweni anakuta wamepika ugali cabbage wakichange ni maharage na yeye hapendi huo msosi nlishangaa
Basi na wewe fyatuUgali kwa Cabbage, hapo hata mimi namsapoti. Hata kama ni ukweni
Kuna mtu kaambiwa fyatu kumbe jina lako aiseeIliwahi kusemwa 'debe tupu haliachi kuvuma' au 'ajuae mengi hasemi mengi'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnamaanisha KWA DIVA HAKUNAGA USHEMEJI!