Daaah mkuu umegonga mulemule.
....angejua kabisa ninavyompenda,
Sijawahi kupenda ila yeye ndio wa kwanza na ananizingua...
Si bora angesema mapema ameniacha nimezama...
Kutoka sasa nashindwa...nashindwa
cc Interest [emoji24][emoji24][emoji24]
hiy ala za roho inarushwaga channel gani na saa ngapi ili nikamsikilize huyu diva the boss maana namsikiaga tu mfano kuna wimbo flani wa temba nilisikia akamtaja sasa naombeni msaada na mimi nimsikia alafu nilinganishe na kinachosemwa huku
mwanamke gani anafuga makucha marefu kama ya tai??? watu wataishia kula na kusepa km haweza kumanage domestic chores! km kupika,kufua,kudeki,kufagia,kuongea kwa busara etc.