Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hahaa huyo demu mshamba kweli. Hivi kwa mheshimiwa hukujiuliza we ni wangapi? Muulize yule bi dada muandishi wa majira mwenye mashavu yasiosomeka. Anayejiita MASHUHULI anajua mheshimiwa alichomfanya. Mnajipelekaaaaaga wenyewe!Ooh mueshimiwa, hongera sana kwa kazi mzuri, wakati mwenzenu ni HIT and RUN
!yaani Diva ajitayarishe kwa dozi tu, mimi najua issue za huyu mtu kutoka reputable source mbona wadada mnatia huruma kwanini mnajiongezea wenyewe kwenye list zisizokuwa na mpango,tulieni dunia imeisha hii...ngono zembe zitawaponza
Hueleweki wewe,wapi katoswa?:yell:
AAAh jamani dogo mtoto anaye bana!Hahahaaaaaaaaaa!
Chezeya Mzito weye, Dume la Mbegu lile! Ila the guy is the master of the game!!!!!!! Tweet moja tu, bidada anajaza page kuijubu.
TO WHOM MUCH IS GIVEN, MUCH IS DEMANDED!!!!!!!!!!! Mihela yote, Ujana wote, Maarifa yote, Future yote, Alafu kijana mwenzangu cant just seem to find 1 just 1 suitable girl to marry n call her his wife! Hata mtoto hana!!!!!!!!!! Simple things in life are difficult to explain.
And how comes that intimate issues are discussed on tweeter? Au haka kabinti nako kanatafuta umaarufu usio wa lazima?
Hahahaaaaaaaaaa!
Chezeya Mzito weye, Dume la Mbegu lile! Ila the guy is the master of the game!!!!!!! Tweet moja tu, bidada anajaza page kuijubu.
TO WHOM MUCH IS GIVEN, MUCH IS DEMANDED!!!!!!!!!!! Mihela yote, Ujana wote, Maarifa yote, Future yote, Alafu kijana mwenzangu cant just seem to find 1 just 1 suitable girl to marry n call her his wife! Hata mtoto hana!!!!!!!!!! Simple things in life are difficult to explain.
mie kwanza nashindwa kuelewa! hivi mtu kuanika mtu unaetoka nae ndo u-superstar? mana leo wako kesho akikuacha utaificha wapi sura yako?
and tatizo Diva ni attention seeker sana watu tulishamsahaugi ka anaexist
AAAh jamani dogo mtoto anaye bana!
mtoto anae kazaa na yule Madame...,lecture wa pale UDSM
tozi ashamlamba sana wema pale hotel ya karibu na mwenge stand miaka ya 2009,vp tozi kaumia kwani maana hata late ac tuliskia jamaa kapita.
Hahahaaaaaaaaaa!
Chezeya Mzito weye, Dume la Mbegu lile! Ila the guy is the master of the game!!!!!!! Tweet moja tu, bidada anajaza page kuijubu.
TO WHOM MUCH IS GIVEN, MUCH IS DEMANDED!!!!!!!!!!! Mihela yote, Ujana wote, Maarifa yote, Future yote, Alafu kijana mwenzangu cant just seem to find 1 just 1 suitable girl to marry n call her his wife! Hata mtoto hana!!!!!!!!!! Simple things in life are difficult to explain.
Mbona hata hakuna kutoswa hapo?!
Acheni kumchafua ZZK!!
Mmeshindwa kwenye siasa;naona mmekuja kijamii!! Siasa bana!
HAKUNA PESA INAYONUKA!!!!!!!!! Watu wako kistrategic zaidi. Money and girls is a covalent bond! Not easy to separate!