Kuoa kunategemea mambo mengi sana, pesa haina nafasi kabisa hapo.... kuna vitu serious kama Urijali nakadhalika, sidhani kama inawezekana kuoa iwapo una pesa alafu huwezi kufanya tendo la ndoa.
TOZI huwa haachi alama huko alikotoka.TOZI hajajibu hata moja
to which at the end end of the day it cost us to death
Labda! Ila si unajua walimwengu kwa kuongea mambo mengi kwa mkupuo! Kuwa ETI! EEEEEEETI! KUWA ETIIIIIII--------------------------------------------------(Ngoja nifunge bakuli langu Ntu wa Ziwani yule, akifanya babu yake alivofanya ntamuwezea wapi mie ntu wa bara!)
hueleweki wewe,wapi katoswa?:yell:
TOZI huwa haachi alama huko alikotoka.
fuatilia tweet hizo ni kawaida ya diva anapoachana na boy friend wake lazima amuanike ilianza kwa mchezaji mpira mmoja ambae ni hb na ana six pack sijui nimepatia miraba minene tumboni basi ilikua kila siku story kuhusu tumbo la boy wake na walipoachana tu akaanza kuchambua oooooh mara wanaume ni wachafu sana hawafui boxer akikuvulia boxer utatamani ukimbie na alaikua ana mlenga waziwazi bx boy wake kisa alipata new love ya mo racka na alipoachana nae akaanza kumponda sana mara alaikosea sana kua na yeye hakufanya mamuzi sahihi na ana juta kumvulia chupi leo kwa zuberi na ameshaanza kumuanika that meana walishaongea mengi sana
so... What should we do?
yetu masikio
hahaaaaaa akifanya mambo yake hakutakalika humu ndani tulokoment wote chali
kuwa na mtoto ni the fact so habari za kinaa ETIIIIII........
Sina hakika kama kakubali kwa maandishi lol!, ILA nimeshakutana/kaa naye na dogo huyo akamtambulisha ...., hiyo haitoshi kumkubali?Mmmmmmmmh! Keshawahi kukubali yeye ndio baba wa huyo mtoto? Au ndo design maza mtoto anakomalia huyu mtoto wa flani!!!
WEWE NYANI ebu sikiliza tembelea account zao za twiter kila kila kipo huko mi siwezi kuleta hapa kila kitu silipwi hapaSpecifically kwenye hizo screen shots za tweets ulizoziweka wewe ni wapi au ni maneno yapi ambayo yanamtosa Zitto?
WEWE NYANI ebu sikiliza tembelea account zao za twiter kila kila kipo huko mi siwezi kuleta hapa kila kitu silipwi hapa
Me nikikuwa najiuliza kwann Diva anamsifia Zitto daily,iwe kwenye redio au mitandao ya kijamii,mara ooh he is my president(2015) duuh kumbe tayar jamaa alishachovya?!doooh
Basi ungeleta zinazohusu na kutoswa maana hizo ulizoleta hazina chochote ndani yake kinachoonyesha Zitto katoswa.
Yani hapa ndipo wanawake wanapokosea, mtu akikuonja tu basi masifa kibao na mishauo miiingi hadi wengine wanastukia mchezo......sasa ni kupakana live kwenye tweets