Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

Kuoa kunategemea mambo mengi sana, pesa haina nafasi kabisa hapo.... kuna vitu serious kama Urijali nakadhalika, sidhani kama inawezekana kuoa iwapo una pesa alafu huwezi kufanya tendo la ndoa.

Ila kwa case ya MAN OF THE PEOPLE urijali wake unasifika sana mujini hapa!
 
Labda! Ila si unajua walimwengu kwa kuongea mambo mengi kwa mkupuo! Kuwa ETI! EEEEEEETI! KUWA ETIIIIIII--------------------------------------------------(Ngoja nifunge bakuli langu Ntu wa Ziwani yule, akifanya babu yake alivofanya ntamuwezea wapi mie ntu wa bara!)

hahaaaaaa akifanya mambo yake hakutakalika humu ndani tulokoment wote chali
kuwa na mtoto ni the fact so habari za kinaa ETIIIIII........
 
hueleweki wewe,wapi katoswa?:yell:

fuatilia tweet hizo ni kawaida ya diva anapoachana na boy friend wake lazima amuanike ilianza kwa mchezaji mpira mmoja ambae ni hb na ana six pack sijui nimepatia miraba minene tumboni basi ilikua kila siku story kuhusu tumbo la boy wake na walipoachana tu akaanza kuchambua oooooh mara wanaume ni wachafu sana hawafui boxer akikuvulia boxer utatamani ukimbie na alaikua ana mlenga waziwazi bx boy wake kisa alipata new love ya mo racka na alipoachana nae akaanza kumponda sana mara alaikosea sana kua na yeye hakufanya mamuzi sahihi na ana juta kumvulia chupi leo kwa zuberi na ameshaanza kumuanika that meana walishaongea mengi sana
 
Specifically kwenye hizo screen shots za tweets ulizoziweka wewe ni wapi au ni maneno yapi ambayo yanamtosa Zitto?
 
hahaaaaaa akifanya mambo yake hakutakalika humu ndani tulokoment wote chali
kuwa na mtoto ni the fact so habari za kinaa ETIIIIII........

Kumbeeee! Ngoja nifute kauli! Umeonaaaa eeeeeeeeh! Akiamua kufanya hapa kama babu zake walivofanya hadi Nzi, Mende mpaka siafu majumbani kwetu wataisoma namba!!!!!!!!!!!!

Najuuuuuuuuuuta kucomment hapa!
 
Mmmmmmmmh! Keshawahi kukubali yeye ndio baba wa huyo mtoto? Au ndo design maza mtoto anakomalia huyu mtoto wa flani!!!
Sina hakika kama kakubali kwa maandishi lol!, ILA nimeshakutana/kaa naye na dogo huyo akamtambulisha ...., hiyo haitoshi kumkubali?
 
Specifically kwenye hizo screen shots za tweets ulizoziweka wewe ni wapi au ni maneno yapi ambayo yanamtosa Zitto?
WEWE NYANI ebu sikiliza tembelea account zao za twiter kila kila kipo huko mi siwezi kuleta hapa kila kitu silipwi hapa
 
WEWE NYANI ebu sikiliza tembelea account zao za twiter kila kila kipo huko mi siwezi kuleta hapa kila kitu silipwi hapa

Basi ungeleta zinazohusu na kutoswa maana hizo ulizoleta hazina chochote ndani yake kinachoonyesha Zitto katoswa.
 
Me nikikuwa najiuliza kwann Diva anamsifia Zitto daily,iwe kwenye redio au mitandao ya kijamii,mara ooh he is my president(2015) duuh kumbe tayar jamaa alishachovya?!doooh

jamaa alishachovyaa siku nyingi
ila zitto nae mkaree ana list ya wadada ile mbaya
 
kumbe ndio maana muheshimiwa alikua anaalikwa sana kwenye kipindi cha ala za roho
 
Basi ungeleta zinazohusu na kutoswa maana hizo ulizoleta hazina chochote ndani yake kinachoonyesha Zitto katoswa.

mkuu anagalia hiyo tweet ya kwanza ya diva anamsifia prezzo kua ni bora na ndio sababu ya kumtosa mpenzi wake na anadai prezoo anamfanya diva sasa a think like man kuna tweet ya zito kabwe akilalamika niliona lakini gafla siioni atakua kashainondoa you see kabisa kuna kitu plus na alivyokua anasifiwa kwenye kipindi coz hata mo racka nae alikua ana sifiwa sana that time
 
Yani hapa ndipo wanawake wanapokosea, mtu akikuonja tu basi masifa kibao na mishauo miiingi hadi wengine wanastukia mchezo......sasa ni kupakana live kwenye tweets

Ukimnyima financial support unatupiwa mabaya yote
 
Back
Top Bottom