Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

Wengi mlikua hamjui kua Zitto na diva wapo deep in love,lakini hiyo ndo ilikua habari ya mjini sasa ambwaga rasmi sababu ya prezzo.

tweet za diva kwa zitto..
. diva.jpg

diva akiwa na prezzo..
diva-loveness-prezzo-picha.jpg

Cc😡habari ya mjini
 
Last edited by a moderator:
Kutoswa mbona kitu cha kawaida tu.
Kwanini hii iwe issue ya kujadili.
Wangapi wanatoswa na hatuandiki humu jamvini!
 
Au labda mimi kiingilishi nina aleji nacho...mbona ni one side conversation? Na katoswaje bwana zuberi?
 
Hahahaaaaaaaaaa!

Chezeya Mzito weye, Dume la Mbegu lile! Ila the guy is the master of the game!!!!!!! Tweet moja tu, bidada anajaza page kuijubu.

TO WHOM MUCH IS GIVEN, MUCH IS DEMANDED!!!!!!!!!!! Mihela yote, Ujana wote, Maarifa yote, Future yote, Alafu kijana mwenzangu cant just seem to find 1 just 1 suitable girl to marry n call her his wife! Hata mtoto hana!!!!!!!!!! Simple things in life are difficult to explain.
 
Hahaa huyo demu mshamba kweli. Hivi kwa mheshimiwa hukujiuliza we ni wangapi? Muulize yule bi dada muandishi wa majira mwenye mashavu yasiosomeka. Anayejiita MASHUHULI anajua mheshimiwa alichomfanya. Mnajipelekaaaaaga wenyewe!Ooh mueshimiwa, hongera sana kwa kazi mzuri, wakati mwenzenu ni HIT and RUN

!yaani Diva ajitayarishe kwa dozi tu, mimi najua issue za huyu mtu kutoka reputable source mbona wadada mnatia huruma kwanini mnajiongezea wenyewe kwenye list zisizokuwa na mpango,tulieni dunia imeisha hii...ngono zembe zitawaponza
 
HAKUNA PESA INAYONUKA!!!!!!!!! Watu wako kistrategic zaidi. Money and girls is a covalent bond! Not easy to separate!
 
Ha ha ha ha diva anapenda kick sana alikuwa hasikiki kabisa kaamua atoke na ya kujipendekeza kwa prezzo na hii ya kumtosa Zitto
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom