Low battery

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
865
Jamani msaada wenu utanipa jibu. kuna kijana kaniiijia kuniomba msaada kwa tatizo alilonalo. ingawa amehuzunika sana kunieleza, maana kwa jinsi anavyoniheshimu hakuwa na jinsi ila anieleze. tatizo lake amesema yeye kila akipata mechi, hana nguvu ya kusogeza mpira hta kufikia kati ya kiwanja , mwanzo anaanza vizuri lakini kabla ya kufunga goli jamaa anasinyaa kabisaaaa, ni mara chache sana kufika kileleni, ANALO TATIZO LA MIGUU KUMUUMA JE INAWEZA KUWA NDIO SABABU AMA LA!! ( NI KIJANA 23YRS)
 
Ameoa ... bcz yrs ago whn i entered med school whn i took an oath nili add mine kwamba sitokuja saidia wazinzi . neways tuanze hapa kwenye maumivu ya miguu tell us about miguu imejaa maji..?! ajaribu kuminya ile ngozi ya miguuni acheki kama ana maji "edema in low extremities "
 
haumwi na miguu bali huwa inakosa nguvu muda fulanifulani. na hata kutembea kwake ni kama mtu mwenye kuruka mashimo hali ya kuwa amatembea sehemu tamabrare
 

Njiwa kiapo gani tena hicho ulichokula weye? Mi nishatibu mijambazi kibao imebondwa huko na wananchi wenye hasira. Na mijambazi ishaniliza sana wakati naka Kinondoni Mkwajuni. Toa msaada kaka...sambi sake mwenyewe!
 
Hapo ni kumuona dokta tu na kujieleza kinaga ubaga. Madokta wanajua kwamba vijana tunachakacchua....
 
Njiwa kiapo gani tena hicho ulichokula weye? Mi nishatibu mijambazi kibao imebondwa huko na wananchi wenye hasira. Na mijambazi ishaniliza sana wakati naka Kinondoni Mkwajuni. Toa msaada kaka...sambi sake mwenyewe!

Binafsi nachukia Wazinzi na Mashoga even though nitawatreat normal kama wagonjwa wakawaida but hawatopata total respect kutoka kwangu .. ndio maana when am done with ths Gen. Internship , Residency yangu next year InshaAllah will be on surgery ...
 
haumwi na miguu bali huwa inakosa nguvu muda fulanifulani. na hata kutembea kwake ni kama mtu mwenye kuruka mashimo hali ya kuwa amatembea sehemu tamabrare


Probably atakuwa na calcium deficiency. Anywe lots of milk and eat lots of fish and meat (for the protein to grow). Does he have little white marks on his finger nails? If so, that could be another sign of a calcium deficiency. If things don't improve after a month or so and he is eating healthily, he might want to see a doctor. They might be able to help him with pills or physiotherapy.

P.S mwambie atafute mchumba afunge naye ndoa.. ngono zembe ni hatari kwa afya


 
Tumia maji hai yanayotengenezwa kwa bio disc. inauzwa na qnet. tembelea Amezcua Hii imewasaidia wengi. ama niandikie nje ya hii forum. pia toa namba ya simu tuwasiliane.
UNIQUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…