sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Jamani msaada wenu utanipa jibu. kuna kijana kaniiijia kuniomba msaada kwa tatizo alilonalo. ingawa amehuzunika sana kunieleza, maana kwa jinsi anavyoniheshimu hakuwa na jinsi ila anieleze. tatizo lake amesema yeye kila akipata mechi, hana nguvu ya kusogeza mpira hta kufikia kati ya kiwanja , mwanzo anaanza vizuri lakini kabla ya kufunga goli jamaa anasinyaa kabisaaaa, ni mara chache sana kufika kileleni, ANALO TATIZO LA MIGUU KUMUUMA JE INAWEZA KUWA NDIO SABABU AMA LA!! ( NI KIJANA 23YRS)