Low IQ Thread: Mada nyepesi hapa, we listen we dont judge

Low IQ Thread: Mada nyepesi hapa, we listen we dont judge

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
Wakuu Heri ya Mwaka Mpya 2025.

Hii ni thread ya mada nyepesi..

Andika kitu chochote unachofikiri lakini unaogopa kukianzishia uzi...

Mada nyepesi tafadhali...
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa kujituma
Usipojituma utatumwa nawaliojituma
Chawa wote tukutane October 2025
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa kujituma
Usipojituma utatumwa nawaliojituma
Chawa wote tukutane October 2025
Mkuu kujituma si kuna Mungu lakini...
Kumbuka kuna kudhulimiwa, kuibiwa, maradhi?
 
Shahawa nyepesi na mademu wenye mabwawa
Lakini mkuu kwan zamani watu walikuwa hawamwagi mabao mepesi na hayo mabwawa kwani hayakuwepo!!?? Kwa nini iwe sasa hivi hao watu wanaongezeka kwa kasi kipindi hiki
 
Hivi kwanini harufu za guest za bei ndogo huwa zinafanana?

Harufu flani hivi...., wajuzi wanisaidie [emoji23]
Ka uvundo fulani hivi kama ka mkojo wa siku nyingi na mavi kama ya popo yaliyokaa kwenye dari siku nyingi,sasa hizo harufu mbili zikikutana ndio unapata hako kaharufu ambako ni ngumu kukaelezea kwa lugha nyepesi.Hapo nazungumzia guest za elfu 5 kushuka chini
 
Back
Top Bottom