Low Key Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Hela kama tu wanawake tunaopenda mabuzi.

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
Bwana apewe sifa.
Kwanza kabisaa nitoe shukrani za dhatiii kabisaa from bottom of my heart kwa WANAUME. Sio siri bila nyinyi sisi sio kitu kabisaa. Ukiona mwanamke ana jeuri ujue kaitoa kwa mwanaume.

Mimi binafsi msione nakunyaaa humu na kujipaka daily kuhusu wanaume kuwakashifu na kuwabezaaa, mchango wenu kwenye maisha yangu ni mkibwa sanaaa. Basi tu sijawahi kuwaambia. Bila nyini (wenzenu wa kiume) nisingefika kokote. Mshukuriwe sanaa.

Shule yangu yote nilikuwa nasaidiwa na wanaume, kufundishwa, kupewa assigment ni dese, kupewa notsi, yaani wanaume mdumu mika 1000000. Kiukweli mwanamke hata ujitie shupaza kiasi gani huwezi kwenda sawa na wanaume. Ila wanaume wakiamua kukubeba unaenda nao sawa. Wanaume mna roho nzuri sanaa basi tu.

Kazi zangu zooote nimeunganishwa na wanaume, walio ni interview walikuwa wanaume, wakaona mwanamke najikakamua, wakaamua tu kutumia huruma yao kunibeba bebaaa nami nipate riziki. Japo walijuta kunifahamu baadae. Hahahaaa. Wanawale sisi si watu.

Biashara zenyewe nimefundishwa na wanaume zoote. Dili zinazoniweka mjini asilimia 99 naletewa na wanaume. Nimeugua nikawa napewa hela za dawa na wanaumee miaka karibu 2 hawanichokiii tu. Hahahaaa. Hamna mwanamke alienigea hata 5.Jamani wanaume mdumu miaka 1000000. Inspiration za maisha zote nilizo nazo nimezidraw kwa wanaumeee.

Unajua wanaume sio nawasifia ila wana vision, mission, goals, wanajua walipo wanapotaka kwendaaa, mpaka kesho kutwa sijui uanamke au vipi najikuta napoteza vision, mpaka nikadese au kugeza vision ya wanaume wenzenu ndo naendelea. Yani mchango wenu katika maisha yangu Mungu tu ndo anaejua.

Nikipata dharura kuliko nipige simu nyumbani niko radhi nimuombe hata X, ambae ni mwanaume mwenzenu aniokoe, na wanaume hamna iyanaa, nawapendaga buree, anakusaidia bila kujali hujampa papa miaka kibao.

Wala hakuulizi why umenitafuta mimi, anakwambia okay, unaona hela imeingia afu basi kila mtu anendelea na maisha yake. Wanawake sisi, unapiga kwanza mbiu ya la mgamboooo, yule baradhuliii leo kaleta vuzi zake kuomba msaada. Hahahaaaa.

Sisi wanawake ni jipu. Na humsaidiii asilaniii. Sanasana utamsambaza. Mwenyewe Guilty as charged juu ya hili. Mungu tu anifanyie wepesi huko mbele nisirudie huu ubaradhuli.

Na ukitaka kufanikiwa maishani iwe kazini au kwenye biashara dili na wanaumeeee 100%. Kama kazini ukitaka ujue kazi vizriiiupate bonus befriend wanaumeee. Business we kula sahani moja na wanaume, wanakuwaga smart naturally born hata kama hajasoma, afu wana mikakati, wanajitumaa, wana connection, unachokiwaza ashakifanya kimefeli ukimwambia nataka kufanya hivi anakwambia usifanyeee, utapoteaaa.

Wanawake ni jipuuuu. Muda wote kuwaza mabwanaa, wivuuu hataki umzidi hata urefu wa nywele, wakati mwanaume unaweza kumzidi na akakupongezaa kiroho safii tu. Moods wanawake ni kiboko, wana siku zao, sasa ndo nini. Na kupenda kuonekana bila yeye wewe huendi kokote hufiki kokote. Nyoooo. Wanaume big up sanaaa.

Leo natumia uzi huu kuwashukuru rasmiii jinsi mnavotuokoa wanawake na kupenywa na maishaaa. Sio ajabu kukuta dume moja linasaidia wanwake hata 10 kwa aina mbali mbali. Mbarikiwe sanaa Wanaume.

Ila kaka zangu low key MNAPENDA WANAWAKE WENYE HELA. Nje mnajifanya hamnaaa ila kiundani ,nashoboka sanaa na wanawake waliowazidi uwezo. Sijui kwanini. You have all it takes and more ila wanawake wenye kauwezo wana wajambishaga jambishaga sanaa.

First i thought it was just me, unakiwa na mtu wako, mko poa, mnapendanaa hatariii, unakuwa umejirdhikia, mda mwingine hamna hata cha maana anachokupa, kupendana tu. Akitokea mdada kwao wana uwezo, maybe hapo chuo kapewa gari na wazazi wake, hali canteen, basi bi dada utatoswaaa kwa speed ya umeme, ili tu amu entertain yule dada, apande ile gari, nae aonelane yumo.

Uzuri wanawake wenye nazo hawakawiii kumchoka mtu kama Lara 1, siku 2 tu ndo atamjua yule dada uzuri. Akipewa bili za chakula na vinywaji siku 3 sehemu za juu anakimbilia kurudi kwako kama umeme. Sasa mwenzenu sinaga kulamba matapishi. Mtu akishaniangusha once baaas simpi tena chance. Tusameheane ila tukae mbali mbali. Hii imenitokea mara nyingi tu.

Hata makazini, unamkuta mwanaume Free P tu, unaanza kumpenda, mnapendanaa. Sasa mwenzenu sababu sikawii kumchoka mtu, nikiwa nae sijibaniii huo mda mfupiii. Nitatoa hela zangu mchaga kununua roses, nitamtumia vi cake cake kwenye birthday, jioni lazima tuka spend, good time kwa sanaa, namtambulisha kwenye crew jamani nae awe mtu.

Kama alikuwa mshamba anabadilika. Nitamsindikiza shopping. Kama hana gari nita,fanyia mchongo akopeshwe gari awe ana katwaa. Sijibaniii, nikiingia kwenye maisha ya mtu naingia na miguu mi 2, enzi hizo lakini. Akingaaa kidogo tu kosaaa la jinai.

Vidada dada vyenye pesa viboss boss vina standard zao za wanaume, vinaanza kumlaghaiii, anasahuuu kabisaa nilikomtoaaa. Anataka apande tena juuu. Basi ananza kuwa weird. Sasa mimi kwa IQ dakika tu najua sababu. Najiweka pembeni. Siku 3 tu, anarudi mikono nyumaa. Na mimi silambi matapishi hata iweje.

Maana mtu msaliti ndo asili yake. Akifika kule anapewa bills na expenses mpaka kama mkopo unayumbaaa mwenyewe ana nawaaa. Ndo niliposema BAAAAAAAAASSSSSS. Mwanaume FREE P, anipitie kushoto. Anipe changuu mapemaaa. Siku akiondokaa nishanufaikaaaa. Mpaka kesho mwanaume akinitongoza leo, kesho namwomba hela. Sina subiraaaa. Ngoja ngoja ndo mwanzo wa kukopwa chiu.

Ila nimekuja kugundua wanaume wote tu, not just me. Ukiona mtu anase,a kuna mwanamke anasumbua ndoa yake, mpaka mke anakuwa defenceless zaidi ya kushinda kwenye maombi mchepuko una helaaaa kumzidi mke na mumewe. Mume hapo haskii haoniiii.

Uchumba sugu ukisikia umepinduliwa jua tu mwanamke aliyeolewa ana helaaaa, au wazazi wanajiwezaaa mbayaaa. Yaani ukiwa na uhusiano wako akaja mwanamke ana pesa uko uchi kabisaa huna silaha ya kujilinda wala cha kukuokoa.

Na same man, ana wa treat very different wewe na yule mwenye nazo. Unaweza kujikuta unamjuaaa kabisaa, si ashakuwa mtu wako, pengine alikuwa hakupi hata mia, maskini ya Mungu na wewe si unamuelewa hali yake ukawa humuombi 10 yake, una fight kivyakooo, akienda kwa mwenye hela unasikia ANAHONGA hatariii.

Ndo jicho linapokutokaaa na kujua iliandikwa MWENYE NACHO ATAONGEZEWA NA ASIE NACHO ATACHUNWA HATA HIKO KIDOGO ALICHONACHO. Heheheeeee. Utabisha mpaka mishipa ikusimame haiwezekaniii ampe hlea ya bishara mi namjua yuleee, ukitulia ukachunguza kweli kampaaa. Ndo utapogundua ulifujikaaa hatariii.

Yani mwamake pesa ukiwa huna si tu kwenye mapenzi kila mahala unanyanyasika sanaaa. Watu unaowategeamea wakubebe ndo wanakudharauuu. Mtu wako unaemtegemea siku akinusishwa tu mijihelaaa anabadilika kama sijui kitu gani. Mwanamke ukiwa huna hela unatumia nguvu nyingi sanaaa, zikiwemo kuvumilia, kujishushaaa, kusaliii, kujipendekezaa, kujidhikii mradi tu umiliki bwanaa. Wakati wenzetu wanajichagulia tu mabwana kwa over supply

Mimi mwenzenu nimekaa nikaliona hilo, nikaona haina jinsiiii, ili niache kunyanyasikaa na mwanangu asije kunyanyasika wacha nizame huko huko front nitafute pesa kama sina akili vizuriii. Nikiamka naiwaza pesa, nikitembea pesa, nikilala naiwaza pesa. Muda wote niwekeze kumtafuta mchawi wa kila kitu pesaaa.

Na trus me huyu mchawi kadiri unavompa kidogo kidogo anakubadilishia mambo yakooo hutoaminiii. Wale wanaume ilikuwa unawaomba pesa wanakaa siku 4 bila kukujibu, unafanya madua tu waingiwe wepesi wakuokoe na hio pesa kidogo, siku hizi unaomba pesa kubwaa, kubwa kweli kweli na unapewa fastaaa tu mpaka na X.

Unamwambia tu mambo yangu yamekwama niazime kama kilo 3 za fasta narudisha na riba. Unaona inaingiaa, anakwambia usirudishe binadamu kusaidiana. Hahahaaaaa. Nicheke mie. Unatuma tu sms nataka nisafiri kuna hela imepungua kama M1 niazimie mahali nairudisha nikirudi. Chukua tu nimekupa baby, you work so hard for us baby, i support your hustles. Heheeeeeeee! Us hio vepeeeee.

Hata ukikuta mwanamke mmewe ana muheshimuu sanaa na kumuenzi 95% mke kamzidi pesaaa. Hahahaaaa! Kama kuchepuka atavhepuka na mbinu za ki nuclear na atomic most of the time saa 10 jioni yuko nyumbani. Napanga mipango ya maisha na wife. Unapanga mipango ya maisha au unapangiwa mipango ya kufanya namfadhili wako. Heheheheeee! Msinimezeee.

Wanawake wenzangu KIBOKO ya wanaume ni PESA TU. Tumsake huyu mchawiiii. Mwanaume hakusumbuiii hataa. Hakuna mwanaume anamuacha mkewe mwenye pesa ndefu, wanajenga migorofa, anasomesha watoto mishule ya mamillion, nyumba wanaoishi balaa kwa juhudi za mke akaenda kwa kimada kama mimi choka mbaya.

Ndo maana mwenzenu nimestukaaa mapemaa, mchawi pesaa. Kuloga, mauonooo chumbani, uzuri mbwembwe tu. Wake za watu hili wamelijua siku nyingi, unakuta muda wote yupo mkewe bandani kwa kuku hana dressing table, au ana kanda zake ngano akitoka kazini, havai nguo za 200,000 kama sisi mitumbaa tu, gari yake corolla, au anapanda mwendokasi, analima shamba ya miti huko kwao mbeya kama hana akili nzuri, pesa an wekeza kwenye kufuga au kulima.

Wewe uliyepanga upande, nguo za laki 2 zako, gari mko hujamaliza, saluni gani hujulikani kwa kusuka crochet za 100,00, iphone gani ikupite, mwisho wa siku anakuja kwako anakojoa halafu anarudi kwa mkewe mfuga kuku. Anayenukia mbolea. Hahahaa. PESA K/NYOKO.
 
When a street pastor turn back again n throw huge shits massively to marioos kinds

I' d like to observe le wabeibeiz et 'al reactions as well.
 
When a street pastor turn back again n throw huge shits massively to marioos kinds

I' d like to observe le wabeibeiz et 'al reactions as well.
Hahahahaaa! Ndo maana nikawa STREET PASTOR yani tunaenda ki HARDCORE, KI STREETS, KIMTAA MTAA
 
When a street pastor turn back again n throw huge shits massively to marioos kinds

I' d like to observe le wabeibeiz et 'al reactions as well.


Utafanywa gumzo kwenye kanisa la Gwajima, shauri yako we endelea kumtafutia kisa tu. Street pastors kama wale wana visa kwani wanatumia matokeo ya watu kuwa mahubiri ya makanisa yao.
 
Lara 1. Umesaidiwa hivyo na Wanaume! si itakuwa umechakazwa sana!
 
hahahaha lara umeua u know kuna mmoja kanizoea kidogo tu jua akanambia et nmekwama kdg niazime m 1 narudisha after 2 dayz nikamfikiriaaa wee hata siyo boy wangu analilia mgegedo na m ananikopa na strees nlizokuwa nazo za kajamaa kale nikamwambia tu sipo vizuri
 
Ila we kiboko umesaidiwa sana aisee moe naogopa misaada sana huwa nahisi ntakujadaiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…