Low Key Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Hela kama tu wanawake tunaopenda mabuzi.

Low Key Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Hela kama tu wanawake tunaopenda mabuzi.

Hahahahaaa! Ndo maana nikawa STREET PASTOR yani tunaenda ki HARDCORE, KI STREETS, KIMTAA MTAA
Lara1 kuna demu wangu wa kishua akisoma ulichoandika tu nnajua nimeumia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara tuambiwe tunaogopa wanawake successful leo lara 1 anasema hao ndio tunawatamani! Au unazungumzia Mario? Mimi binafsi kati ya mwanamke wa kawaida niliemzidi na mwenye hela nitamchukua wa kawaida nimu upgrade au tu upgrade-ane.
 
Kamwe usifanye kosa la kumhudumia mwanamume dadangu, labda kama awe mumewe na hata mumewe mwache afight usimlemeze kwa kumhudumia, muache mwanaume awe mwanaume. Mwanaume ambae hatafight kukuweka wewe sawa hakupendi. Me kabla sijapata kazi ya maana nilikuwa na msichana alikuwa ananifanyia kila kitu, unaweza ukaona unamsaidia ila si hatuko ivo, vya raha ni ulivyopata mwenyewe. Hata tulivoachana haikuuma kwa kweli na wala sikumthamini zaidi eti sababu alinisaidia hapa na pale, kwa kweli hata nguo alikua ananinulia yeye ila sikuwa na furaha nilihisi kama nakuwa controlled. Nikapata msichana mwingine matawi na nilimfukuzia mda mrefu. Sina hata jero ila nafanya kazi overtime kishenzi nipate vidollar kumpeleka serena enzi hizo movenpick. najitutumua kweli kupata hela ya kumpa good time na kumuanzishia vibusinesness vidogo dogo. Mwanaume akikupenda hata kama mvivu kiasi gani atafight kiume mpaka aweze kukuhudumia, hata kama una hela usimwonyeshe we uchune. Be independent but be a woman, let a man be a man. Wanaume wanaopenda wanawake wenye hela wanataka kuwatumia tu. ndo mana unakuta madada wengi wanaojiweza wako singo, kamwe siwezi kwenda kwa mtu naehisi siwezi kumhudumia.

Bwana apewe sifa.

Kwanza kabisaa nitoe shukrani za dhatiii kabisaa from bottom of my heart kwa WANAUME. Sio siri bila nyinyi sisi sio kitu kabisaa. Ukiona mwanamke ana jeuri ujue kaitoa kwa mwanaume. Mimi binafsi msione nakunyaaa humu na kujipaka daily kuhusu wanaume kuwakashifu na kuwabezaaa, mchango wenu kwenye maisha yangu ni mkibwa sanaaa. Basi tu sijawahi kuwaambia. Bila nyini (wenzenu wa kiume) nisingefika kokote. Mshukuriwe sanaa.

Shule yangu yote nilikuwa nasaidiwa na wanaume, kufundishwa, kupewa assigment ni dese, kupewa notsi, yaani wanaume mdumu mika 1000000. Kiukweli mwanamke hata ujitie shupaza kiasi gani huwezi kwenda sawa na wanaume. Ila wanaume wakiamua kukubeba unaenda nao sawa. Wanaume mna roho nzuri sanaa basi tu.

Kazi zangu zooote nimeunganishwa na wanaume, walio ni interview walikuwa wanaume, wakaona mwanamke najikakamua, wakaamua tu kutumia huruma yao kunibeba bebaaa nami nipate riziki. Japo walijuta kunifahamu baadae. Hahahaaa. Wanawale sisi si watu. Biashara zenyewe nimefundishwa na wanaume zoote. Dili zinazoniweka mjini asilimia 99 naletewa na wanaume. Nimeugua nikawa napewa hela za dawa na wanaumee miaka karibu 2 hawanichokiii tu. Hahahaaa. Hamna mwanamke alienigea hata 5.Jamani wanaume mdumu miaka 1000000. Inspiration za maisha zote nilizo nazo nimezidraw kwa wanaumeee. Unajua wanume sio nawasifia ila wana vision, mission, goals, wanajua walipo wanapotaka kwendaaa, mpaka kesho kutwa sijui uanamke au vipi najikuta napoteza vision, mpaka nikadese au kugeza vision ya wanaume wenzenu ndo naendelea. Yani mchango wenu katika maisha yangu Mungu tu ndo anaejua.

Nikipata dharura kuliko nipige simu nyumbani niko radhi nimuombe hata X, ambae ni mwanaume mwenzenu aniokoe, na wanaume hamna iyanaa, nawapendaga buree, anakusaidia bila kujali hujampa papa miaka kibao. Wala hakuulizi why umenitafuta mimi, anakwambia okay, unaona hela imeingia afu basi kila mtu anendelea na maisha yake. Wanawake sisi, unapiga kwanza mbiu ya la mgamboooo, yule baradhuliii leo kaleta vuzi zake kuomba msaada. Hahahaaaa. Sisi wanwake ni jipu. Na humsaidiii asilaniii. Sanasana utamsambaza. Mwenyewe Guilty as charged juu ya hili. Mungu tu anifanyie wepesi huko mbele nisirudie huu ubaradhuli.

Na ukitaka kufanikiwa maishani iwe kazini au kwenye biashara dili na wanaumeeee 100%. Kama kazini ukitaka ujue kazi vizriiiupate bonus befriend wanaumeee. Business we kula sahani moja na wanaume, wanakuwaga smart naturally born hata kama hajasoma, afu wana mikakati, wanajitumaa, wana connection, unachokiwaza ashakifanya kimefeli ukimwambia nataka kufanya hivi anakwambia usifanyeee, utapoteaaa. Wanawake ni jipuuuu. Mda wote kuwaza mabwanaa, wivuuu hataki umzidi hata urefu wa nywele, wakati mwanaume unaweza kumzidi na akakupongezaa kiroho safii tu. Moods wanawake ni kiboko, wana siku zao, sasa ndo nini. Na kupenda kuonekana bila yeye wewe huendi kokote hufiki kokote. Nyoooo. Wanaume big up sanaaa.

Leo natumia uzi huu kuwashukuru rasmiii jinsi mnavotuokoa wanawake na kupenywa na maishaaa. Sio ajabu kukuta dume moja linasaidia wanwake hata 10 kwa aina mbali mbali. Mbarikiwe sanaa Wanaume.

Ila kaka zangu low key MNAPENDA WANAWAKE WENYE HELA. Nje mnajifanya hamnaaa ila kiundani ,nashoboka sanaa na wanawake waliowazidi uwezo. Sijui kwanini. You have all it takes and more ila wanawake wenye kauwezo wana wajambishaga jambishaga sanaa.

First i thought it was just me, unakiwa na mtu wako, mko poa, mnapendanaa hatariii, unakuwa umejirdhikia, mda mwingine hamna hata cha maana anachokupa, kupendana tu. Akitokea mdada kwao wana uwezo, maybe hapo chuo kapewa gari na wazazi wake, hali canteen, basi bi dada utatoswaaa kwa speed ya umeme, ili tu amu entertain yule dada, apande ile gari, nae aonelane yumo. Uzuri wanawake wenye nazo hawakawiii kumchoka mtu kama Lara 1, siku 2 tu ndo atamjua yule dada uzuri. Akipewa bili za chakula na vinywaji siku 3 sehemu za juu anakimbilia kurudi kwako kama umeme. Sasa mwenzenu sinaga kulamba matapishi. Mtu akishaniangusha once baaas simpi tena chance. Tusameheane ila tukae mbali mbali. Hii imenitokea mara nyingi tu.

Hata makazini, unamkuta mwanaume Free P tu, unaanza kumpenda, mnapendanaa. Sasa mwenzenu sababu sikawii kumchoka mtu, nikiwa nae sijibaniii huo mda mfupiii. Nitatoa hela zangu mchaga kununua roses, nitamtumia vi cake cake kwenye birthday, jioni lazima tuka spend, good time kwa sanaa, namtambulisha kwenye crew jamani nae awe mtu. Kama alikuwa mshamba anabadilika. Nitamsindikiza shopping. Kama hana gari nita,fanyia mchongo akopeshwe gari awe ana katwaa. Sijibaniii, nikiingia kwenye maisha ya mtu naingia na miguu mi 2, enzi hizo lakini. Akingaaa kidogo tu kosaaa la jinai.

Vidada dada vyenye pesa viboss boss vina standard zao za wanaume, vinaanza kumlaghaiii, anasahuuu kabisaa nilikomtoaaa. Anataka apande tena juuu. Basi ananza kuwa weird. Sasa mimi kwa IQ dakika tu najua sababu. Najiweka pembeni. Siku 3 tu, anarudi mikono nyumaa. Na mimi silambi matapishi hata iweje. Maana mtu msaliti ndo asili yake. Akifika kule anapewa bills na expenses mpaka kama mkopo unayumbaaa mwenyewe ana nawaaa. Ndo niliposema BAAAAAAAAASSSSSS. Mwanaume FREE P, anipitie kushoto. Anipe changuu mapemaaa. Siku akiondokaa nishanufaikaaaa. Mpaka kesho mwanaume akinitongoza leo, kesho namwomba hela. Sina subiraaaa. Ngoja ngoja ndo mwanzo wa kukopwa chiu.

Ila nimekuja kugundua wanaume wote tu, not just me. Ukiona mtu anase,a kuna mwanamke anasumbua ndoa yake, mpaka mke anakuwa defenceless zaidi ya kushinda kwenye maombi mchepuko una helaaaa kumzidi mke na mumewe. Mume hapo haskii haoniiii.Uchumba sugu ukisikia umepinduliwa jua tu mwanamke alieolewa ana helaaaa, au wazazi wanajiwezaaa mbayaaa. Yaani ukiwa na uhusiano wako akaja mwanamke ana pesa uko uchi kabisaa huna silaha ya kujilinda wala cha kukuokoa.

Na same man, ana wa treat very different wewe na yule mwenye nazo. Unaweza kujikuta unamjuaaa kabisaa, si ashakuwa mtu wako, pengine alikuwa hakupi hata mia, maskini ya Mungu na wewe si unamuelewa hali yake ukawa humuombi 10 yake, una fight kivyakooo, akienda kwa mwenye hela unasikia ANAHONGA hatariii. Ndo jicho linapokutokaaa na kujua iliandikwa MWENYE NACHO ATAONGEZEWA NA ASIE NACHO ATACHUNWA HATA HIKO KIDOGO ALICHONACHO. Heheheeeee. Utabisha mpaka mishipa ikusimame haiwezekaniii ampe hlea ya bishara mi namjua yuleee, ukitulia ukachunguza kweli kampaaa. Ndo utapogundua ulifujikaaa hatariii.

Yani mwamake pesa ukiwa huna si tu kwenye mapenzi kila mahala unanyanyasika sanaaa. Watu unaowategeamea wakubebe ndo wanakudharauuu. Mtu wako unaemtegemea siku akinusishwa tu mijihelaaa anabadilika kama sijui kitu gani. Mwanamke ukiwa huna hela unatumia nguvu nyingi sanaaa, zikiwemo kuvumulia, kujishushaaa, kusaliii, kujipendekezaa, kujidhikii mradi tu umiliki bwanaa. Wakati wenzetu wanajichagulia tu mabwana kwa over supply

Mimi mwenzenu nimekaa nikaliona hilo, nikaona haina jinsiiii, ili niache kunyanyasikaa na mwanangu asije kunyanyasika wacha nizame huko huko front nitafute pesa kama sina akili vizuriii. Nikiamka naiwaza pesa, nikitembea pesa, nikilala naiwaza pesa. Mda wote niwekeze kumtafuta mchawi wa kila kitu pesaaa.

Na trus me huyu mchawi kadiri unavompa kidogo kidogo anakubadilishia mambo yakooo hutoaminiii. Wale wanaume ilikuwa unawaomba pesa wanakaa siku 4 bila kukujibu, unafanya madua tu waingiwe wepesi wakuokoe na hio pesa kidogo, siku hizi unaomba pesa kubwaa, kubwa kweli kweli na unapewa fastaaa tu mpaka na X. Unamwambia tu mambo yangu yamekwama niazime kama kilo 3 za fasta narudisha na riba. Unaona inaingiaa, anakwambia usirudishe binadamu kusaidiana. Hahahaaaaa. Nicheke mie. Unatuma tu sms nataka nisafiri kuna hela imepungua kama 1 m niazimie mahali nairudisha nikirudi. Chukua tu nimekupa baby, you work so hard for us baby, i support your hustles. Heheeeeeeee! Us hio vepeeeee.

Hata ukikuta mwanamke mmewe ana muheshimuu sanaa na kumuenzi 95% mke kamzidi pesaaa. Hahahaaaa! Kama kuchepuka atavhepuka na mbinu za ki nuclear na atomic most of the time saa 10 jioni yuko nyumbani. Napanga mipango ya maisha na wife. Unapanga mipango ya maisha au unapangiwa mipango ya kufanya namfadhili wako. Heheheheeee! Msinimezeee.

Wanawake wenzangu KIBOKO ya wanaume ni PESA TU. Tumsake huyu mchawiiii. Mwanaume hakusumbuiii hataa. Hakuna mwanaume anamuacha mkewe mwenye pesa ndefu, wanajenga migorofa, anasomesha watoto mishule ya mamillion, nyumba wanaoishi balaa kwa juhudi za mke akaenda kwa kimada kama mimi choka mbaya. Ndo maana mwenzenu nimestukaaa mapemaa, mchawi pesaa. Kuloga, mauonooo chumbani, uzuri mbwembwe tu. Wake za watu hili wamelijua siku nyingi, unakuta mda wote yupo mkewe bandani kwa kuku hana dressing table, au anakanda zake ngano akitoka kazini, havai nguo za 200,000 kama sisi mitumbaa tu, gari yake corolla, au anapanda mwendokasi, analima shamba ya miti huko kwao mbeya kama hana akilinzuri, pesa an wekeza kwenye kufuga au kulima. Wewe uliepanga upande, nguo za laki 2 zako, gari mko hujamaliza, saluni gani hujulikani kwa kusuka crochet za 100,00, iphone gani ikupite, mwisho wa siku anakuja kwako anakojoa afu anarudi kwa mkewe mfuga kuku. Anaenukia mbolea. Hahahaa. PESA K/NYOKO.
 
Lara nahisi dishi limeyumba, haupo sawa, madhara ya kuokoka kisa matatizo ndio hayo, Okoka ukiwa huna Tatizo, Stress za ndoa Sasa dishi limeyumba, kichwa walu walu kila unaposhika shida, hata ukisifia wanaume umechelewa sana wewe tayari kubali uwe mke wa pili labda
 
Lara 1. Umesaidiwa hivyo na Wanaume! si itakuwa umechakazwa sana!

Haina USHEMEMJI WAMA MAKOMBO WENGINE WANAKULAGA TU. HAHAHAHA. Ila on serious note sio wanaume wote wanaokusaidia wanataka papa. Wengine wanakuhurumia tu mwanamke ulitakiwa uwe umewekwa ndani unashinda na kanga moja ila maisha yamekupenya unakomaa na high heels kutafuta riziki. Wanaingiwa imani wanakusaidia tu
 
hahahaha lara umeua u know kuna mmoja kanizoea kidogo tu jua akanambia et nmekwama kdg niazime m 1 narudisha after 2 dayz nikamfikiriaaa wee hata siyo boy wangu analilia mgegedo na m ananikopa na strees nlizokuwa nazo za kajamaa kale nikamwambia tu sipo vizuri

Ungeliwaaaaa, ohooooo.
 
Ila we kiboko umesaidiwa sana aisee moe naogopa misaada sana huwa nahisi ntakujadaiwa
Hudaiwi wala nini, wewe kula msaada, wanaume viumbe wa ajabu sanaaa, wana roho ya kutoa hamna mfano. WOGA WAKO UMASIKINI WAKO.
 
Kamwe usifanye kosa la kumhudumia mwanamume dadangu, labda kama awe mumewe na hata mumewe mwache afight usimlemeze kwa kumhudumia, muache mwanaume awe mwanaume. Mwanaume ambae hatafight kukuweka wewe sawa hakupendi. Me kabla sijapata kazi ya maana nilikuwa na msichana alikuwa ananifanyia kila kitu, unaweza ukaona unamsaidia ila si hatuko ivo, vya raha ni ulivyopata mwenyewe. Hata tulivoachana haikuuma kwa kweli na wala sikumthamini zaidi eti sababu alinisaidia hapa na pale, kwa kweli hata nguo alikua ananinulia yeye ila sikuwa na furaha nilihisi kama nakuwa controlled. Nikapata msichana mwingine matawi na nilimfukuzia mda mrefu. Sina hata jero ila nafanya kazi overtime kishenzi nipate vidollar kumpeleka serena enzi hizo movenpick. najitutumua kweli kupata hela ya kumpa good time na kumuanzishia vibusinesness vidogo dogo. Mwanaume akikupenda hata kama mvivu kiasi gani atafight kiume mpaka aweze kukuhudumia, hata kama una hela usimwonyeshe we uchune. Be independent but be a woman, let a man be a man. Wanaume wanaopenda wanawake wenye hela wanataka kuwatumia tu. ndo mana unakuta madada wengi wanaojiweza wako singo, kamwe siwezi kwenda kwa mtu naehisi siwezi kumhudumia.

ya kosa la

Uchoyo nao kwenye mapenzi ni jipuuuu. Mi ndo najifunza kuacha. Mwenyewe uchoyo kwenye mapenzi umeniumizaa sanaaa. Yani unakuta una shida genuine ila haya mambo ya kuhonga na kuchunana, mwanaume hakusadiiii ngoooo mpaka uuze mechi kwengine. Sasa sio mapenzo hayo huo ni uchoyoooo. Kama unacho kula na mpenzi wako.

Na kweli mnataka wanawake wenye hela mjinufaishe ila ASIKWAMBIE MTU INAUMAAA SANAA MWANAUME KUKUACHA SABABU HUNA KITU AKAENDA KWA DEMU MWENYE PESA HATA TEMPORARY. INAUMAA SANAA. CAUSE HATA MIMI SIKUPENDA KUWA MASKINI NI MAISHA TUUUU.
 
Lara nahisi dishi limeyumba, haupo sawa, madhara ya kuokoka kisa matatizo ndio hayo, Okoka ukiwa huna Tatizo, Stress za ndoa Sasa dishi limeyumba, kichwa walu walu kila unaposhika shida, hata ukisifia wanaume umechelewa sana wewe tayari kubali uwe mke wa pili labda

HAHAHAAAAAAAA. Ungejua sahivi WOKUVU UMENIFUNGULIA MBINGU DUNIANI MPAKA NAOGOPAAAA. Haki vile nakwambia. Hata nikiuza mchanga watu wanagombeaaa. Wanaume nao date nao sahivi sio wa kitoto. Sikuwahi kuimagine itafika siku Lara mie, mtoto wa mama lara, mtumishi wa serikali, na baba lara mstaafu wa serikali, nimetokea familia za kawaida nitafika level hizi. Kweli Mungu Kibokoooo yao.

Mama mwenyewe haamini kabisaaa, anashinda kanisani anahisi mda wowote fairy tale itaishaaa. Hahahaaaa. Au wataniroga. Kumbe Mungu tu amechekea pande zangu. Yaani wale wanaume wa zamani ilikuwa dhiki tu, na Mungu kweli ananipenda. I dont regret even for sec kuachana nao mbali, walikiwa wananichelewesha tu. Acha maisha yawapenyeee vizuriii. Hahaaaaaaa

NAJUTAAAAAAA, NINGEJUA WOKOVU MTAMU HIVI NINGEOKOKA SIKU NYINGI SANAAAAA. Nimeteseka bila sababu yoyote. Daaah. HALLELUJAH PRAISE THE LORD
 
Ivi Hao Wanawake Wenye Pesa Wanakaa Mitaa Gani. Maana Mi Sijawahi Hata Kupishana Nae Akiwa Katika Gari Lake Mimi Nikiwa Ktk Daladala... Ama Kweli Watu Wanaishi Mimi Nasurvive...

Wapo hata hapo chuoni kwako. Hujui tu kusoma alama za nayakati. We demu ana miaka 19 ana ndinga kali unafikiri akikua atakuwa mwenzio? Thubutuuuuu. Ubamuwahi mapemaaa. Maisha yanapenyaaa mdogo wangu usisikie.
 
Mara tuambiwe tunaogopa wanawake successful leo lara 1 anasema hao ndio tunawatamani! Au unazungumzia Mario? Mimi binafsi kati ya mwanamke wa kawaida niliemzidi na mwenye hela nitamchukua wa kawaida nimu upgrade au tu upgrade-ane.

Hayo ni maneno yenu ya woga tu. Ila akitokea wa kishua akakuhitaji yeye, unalainika kama mkate kwenye chai. Low key wote mnapenda kitongaaaaa. Japo mnajitutumua because of our culture msionekane Mariooo. Ila kumpindua demu mwenye hela sio rahisiiiii kabisaaa. Hata mwanaume awe nani.
 
HAHAHAAAAAAAA. Ungejua sahivi WOKUVU UMENIFUNGULIA MBINGU DUNIANI MPAKA NAOGOPAAAA. Haki vile nakwambia. Hata nikiuza mchanga watu wanagombeaaa. Wanaume nao date nao sahivi sio wa kitoto. Sikuwahi kuimagine itafika siku Lara mie, mtoto wa mama lara, mtumishi wa serikali, na baba lara mstaafu wa serikali, nimetokea familia za kawaida nitafika level hizi. Kweli Mungu Kibokoooo yao.

Mama mwenyewe haamini kabisaaa, anashinda kanisani anahisi mda wowote fairy tale itaishaaa. Hahahaaaa. Au wataniroga. Kumbe Mungu tu amechekea pande zangu. Yaani wale wanaume wa zamani ilikuwa dhiki tu, na Mungu kweli ananipenda. I dont regret even for sec kuachana nao mbali, walikiwa wananichelewesha tu. Acha maisha yawapenyeee vizuriii. Hahaaaaaaa

NAJUTAAAAAAA, NINGEJUA WOKOVU MTAMU HIVI NINGEOKOKA SIKU NYINGI SANAAAAA. Nimeteseka bila sababu yoyote. Daaah. HALLELUJAH PRAISE THE LORD
ameen,Safi sana lara1..
 
Mh! Nimehangaika sana kutafuta where's the catch!kwenye andiko lako mpaka nimelipata.Kwanza kwa niaba ya wanaume wenzangu nikushukuru kwa dhati kabisa kwa shukrani zako ulizotoa juu yetu.
Pili niseme tu sehemu ya pili ambayo hasa ni kiini cha andiko lako hii ya kwamba wanaume tunapenda wanawake wenye fedha yes! Tena yes!100% kwa sababu mkono mtupu ndio ambao haulambwi unaanzaje kulamba kono lisilo na kaasali hata tone basi tu inatokea makapuku wenzetu ndio wanaokuja upande huu nao wanaendekeza shida mpaka kero.Niwasilishe kwako na kwenu hata kanisani padre akigundua kwamba siku hiyo hatatoa sadaka basi hata yeye hataswalisha misa
Hii hoja yako ndio sera ya mapenzi na mahusiano kuanzia mwaka 2003 mheshimiwa professa joseph haule alipoachia wimbo wake wa zali la mentali ambao ulichagiza sera hii mpya ya mapenzi na tokea hapo tumepata kile kinachoitwa na wadau wengi kama badiliko la sera ya mapenzi na mahusiano kama "dira"yetu.
Mwisho tutaendelea kushirikiana wanawake kwa kadri mtakavyokuwa mkishirikiana na sisi.
Mwisho wa kuwasilisha hoja!
 
Hayo ni maneno yenu ya woga tu. Ila akitokea wa kishua akakuhitaji yeye, unalainika kama mkate kwenye chai. Low key wote mnapenda kitongaaaaa. Japo mnajitutumua because of our culture msionekane Mariooo. Ila kumpindua demu mwenye hela sio rahisiiiii kabisaaa. Hata mwanaume awe nani.
Sio kweli hatuko sawa.
 
Haukufundishwa KWENU VYEMA,MWANAUME MWENYE AKILI HANA SHIDA NA PESA ZAKO,YUKO TAYAR KUKUACHA NA PESA ZAKO NA ELIMU YAKO KAMA USIPOMHESHIM NA KUMTHAMINI KAMA MUME,
SIKU ZOTE WANAWAKE WANAOTAFUTA USAWA KATIKA NDOA NDIO WANAOONGOZA KWA KUVUNJA NDOA,,,,
 
Back
Top Bottom