Na hiyo misaada si lazima cash utalipa "in Kind" ππIla we kiboko umesaidiwa sana aisee moe naogopa misaada sana huwa nahisi ntakujadaiwa
Najitoa akili! Nakubaliana na wewe, walikuwa wanakusaidia tu, kwa kukuonea huruma.Haina USHEMEMJI WAMA MAKOMBO WENGINE WANAKULAGA TU. HAHAHAHA. Ila on serious note sio wanaume wote wanaokusaidia wanataka papa. Wengine wanakuhurumia tu mwanamke ulitakiwa uwe umewekwa ndani unashinda na kanga moja ila maisha yamekupenya unakomaa na high heels kutafuta riziki. Wanaingiwa imani wanakusaidia tu
Kumbe munawaonea wivu wamama wa nyumbaniHaina USHEMEMJI WAMA MAKOMBO WENGINE WANAKULAGA TU. HAHAHAHA. Ila on serious note sio wanaume wote wanaokusaidia wanataka papa. Wengine wanakuhurumia tu mwanamke ulitakiwa uwe umewekwa ndani unashinda na kanga moja ila maisha yamekupenya unakomaa na high heels kutafuta riziki. Wanaingiwa imani wanakusaidia tu
Asilimia 1%katika mia kama Kylyn, Jessica MSD, Faraja Kota sio wamama wa uswahilini chupi inawapa mawazo kununua. Hahahaaaa. Au wanashinda nyumbani wanafagia mbolea za kuku. Haaaaaaaa. Akhaaaaa.Kumbe munawaonea wivu wamama wa nyumbani
Kivipi tena? πWOGA WENU UMASIKINI WENU
Ndio kutamania ivoo sema wewe unatamani kwa wenye status hiyo ..kazana na kuvaa high heels upambane wa kukabakisha na kanga moja ndio hivyo tena ishakuwa mtihani.Asilimia 1%katika mia kama Kylyn, Jessica MSD, Faraja Kota sio wamama wa uswahilini chupi inawapa mawazo kununua. Hahahaaaa. Au wanashinda nyumbani wanafagia mbolea za kuku. Haaaaaaaa. Akhaaaaa.
Nimemaliza. Alokua Na Ndinga Ya Maana Chuo Alikua Sponsored Na Branch Manager CRDB Na Bado Dadaake Ni Kuwadi Alikuq Anamkuwadia Kama Anavyokuwadia Kina Wema Na Bongo Movie. Sasa Apo Mie Si Sawa Na KILUVYA United Nikacheze Na Bayern Wakat Arsenal Tu Kala 10-2.Wapo hata hapo chuoni kwako. Hujui tu kusoma alama za nayakati. We demu ana miaka 19 ana ndinga kali unafikiri akikua atakuwa mwenzio? Thubutuuuuu. Ubamuwahi mapemaaa. Maisha yanapenyaaa mdogo wangu usisikie.
Nimekuelewa hapo kwenye sentensi ya mwisho tu. ( WOGA WAKO UMASIKINI WAKO)The DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED, AND MEN ARE NOT THAT HARMFUL. WOGA WAKO UMASIKINI WAKO