Low mobility ya sperms

Low mobility ya sperms

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,415
Wakuu inapotokea mwanaume ana low mobility ya sperms zake ..hapa nazungumzia 3% na kabla ya hapo hakuwa na shida iyo inaweza kuwa imesababishwa na nini?na tiba yake ipoje
 
samahani mkuu nini maana ya Low sperm mobility?
 
Back
Top Bottom