Low sperm motility

Low sperm motility

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
Wadau naomba msaada wenu
jamaa yangu yupo kwenye ndoa yapata miaka 5 sasa,hana mtoto
alipoenda kwa daktari.Daktari alipomfanyia sperm analysisi,matokeo
yalikuwa hivi

-low sperm motility
-about 5% sperm motile
-abnormal sperm mophology ie big head and very long tail
-poor progressive sper movement

Hivi ndivyo nilivyovinote haraka haraka kwenye kadi yake

SWALI ni je huyu mtu atafanikiwa kweli kupata mtoto maishani mwake
Je huyu mtu afanye nn ili aweze kurudi kwenye sperm normality?
 
Inabidi uangalie na sperm count(normal ni 15millions per millilitre) pamoja na sperm volume(semen)(normal ni kuanzia 1.5mls).......kwnye hiyo mortility norma ni 40%.....kama ipo poor namna hiyo kwanza inabidi jamaa akapime HORMON(hasa teststeron) angalie kiwango chake(atapata na ushauri kutokana na kiwango)....then pia ina bidi ajitahidi kuangalia vitu vingine vinavyo sababisha kama-stress(mental stress).....over heating(huku kwenye mashine)-apunguze joto au awe anavaa nguo ambazo hazileti joto.......angalie kama anapata infection km recurrent UTI awe anazitibu zinaisha.....aache sigara.pombe na vyakula vyenye cafein-red bull nk.....azingatie vyakula vya vitamin hasa C na vyenye madini kama zinc, selenium, folate nk-....mengine akienda kucheki HORMON akikutana na DK ataambiwa zaidi...
 
Back
Top Bottom