LOWASA amejiunga CDM/UKAWA baada ya kukatwa CCM,YANGA leo wamekatwa KAGAME waende wapi?

LOWASA amejiunga CDM/UKAWA baada ya kukatwa CCM,YANGA leo wamekatwa KAGAME waende wapi?

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Msaada wa ushauri please maana siku hizi ukikatwa tu, unachepuka kwa jirani!

Llembeli kasikia harufu ya kukatwa kachepuka, Lowassa kavua gamba...

Je, unawashauri nini ndala? Waende wapi baada ya kukatwa?

Mmimi nasema waende NDONDO CUP ndo kunawafaa, wewe je?
 
Tunaenda Klabu Bingwa Afrika, Dondo Cup is reserved for mikia fc. I'm confident that this is the best answer! Do you still have any other question?
 
kwani Simba walivokatwa kushiriki kagame cup walienda wapi?!
 
Mchwazinakusumbua na.aliekutima
 
Yanga nayo imekatwa?

ndala wamekatwa!waliikomalia simba kwa kujua wasingefika hata robo kumbe mnyama kampa azam siri ya kuwadondosha yeboyebo chaliiiii
 
Tunaenda Klabu Bingwa Afrika, Dondo Cup is reserved for mikia fc. I'm confident that this is the best answer! Do you still have any other question?

vipi pluijm hamjamfukuza?
vipi bartez leo hajauza game au mpk mcheze na mnyama ndo kiwewe cha timuatimua kinapanda?jibu hayo kwnza
 
Back
Top Bottom