Hakuna cha research wala nini katiba hiko wazi. Ibara ya 57 imesema vizuri ni namna gani waziri anaweza kuondolewa madarakani. Lowasa alijiuzuru uwaziri mkuu kwa kumwandikia rais. Lazima tutofautishe kati ya sababu alizoweka kwenye hiyo barua lakini la msingi rais aliliridhia kujiuzulu kwake.
Issue: je Lowasa n waziri mkuu mstaafu au ni waziri mkuu wa zamani?
Ukiichambua hiyo issue hapo juu utaona ya kwamba neno mstaafu ni mtu aliyefikisha au kumaliza kipindi chake cha ajira bila mawaa narudia bila mawaa.
Kujiuzulu kwa Lowasa kuna mweka kwenye kundi la former PM yani waziri mkuu wa zamani. Swali kwa wanaJF je waziri aliyejiuzuru anaendelea kupokea mafao kama waziri aliyestaafu? na kwa vigezo vipi?
Shadow