Elections 2010 Lowasa, Sumaye, Mwinyi, Rose Migiro, Lipumba na Slaa nani zaidi 2015?

Elections 2010 Lowasa, Sumaye, Mwinyi, Rose Migiro, Lipumba na Slaa nani zaidi 2015?

2015 bado ni karibu saana kufikiri kua atakae cover hio nafasi ataleta changes...
Nafasi tuliopo saizi ni tete mno na kurudisha mpaka ikae sawa Wa Tz tukaridhika kazi ipo..
Na hata chama kigeni kiingie kwa miaka mitano ya kwanza badala ya kufanya changes
watakua wamekazana kuadhibu waliopo madarakani juzi, jana na leo so long as wana link na magamba..
Maana woote hao wamekaa ki siasa siasa tu... No uzalendo..

Huwa unangiaga huku kumbe eh?
 
true mkuu
 
hivi jamani waungwana,huyo mkurya anatoa wapi maneno? mbona udoctor wa safari za kiwete hausemi?jamani mbona mnatumia makamasi ya kondoo badala ya akili?
 
EMT Nimeanza rasmi leo... Kama upo saana huku i believe tutazidi kutana kama kawa...

Huku rahisi sana kula ban. The day utakayopata ban itakuwa ni breaking news
 
Huku rahisi sana kula ban. The day utakayopata ban itakuwa ni breaking news

EMT... I will always apply this... Never get angry. Never make a threat. Reason with people

ndio ni mwanadamu naweza tereza but will try my best...

BUT after all... Heri shari kamili kuliko nusu shari

  • Thanks
Reactions: EMT
Mbona sijaona list? Nimeona dr Slaa tu! Na ndiye rais halali tangu 2010 oct japo hakai magogoni! Kama hujui fuatilia ccm inatekeleza sera za nani?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mbona sijaona list? Nimeona dr Slaa tu! Na ndiye rais halali tangu 2010 oct japo hakai magogoni! Kama hujui fuatilia ccm inatekeleza sera za nani?
Dr Slaa ni rais halali/genuine/quality/supper wa watanzania wazalendo!!
 
Natumai sifa za watu hawa zinajulikana hapa jamvini.1. E.Lowasa-waziri mkuu mstaafu.. mbunge wa monduli.2. F.Sumaye-waziri mkuu awamu ya 33. H.Mwinyi(PhD)-waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na usalama.Mtoto wa rais mstaafu.4. R.Migiro(PhD)-naibu katibu mkuu UN5. I.Lipumba(Prof)-M/kiti CUF, Mchumi.6. W.Slaa(PhD)-Katibu mkuu CHADEMA, Mwanaharakat/mwanamageuzi. Toa maoni yako nani anatufaa 2015 bila kujali JINSIA, DINI, KABILA wala ITIKADI YA CHAMA.
Dr Mwinyi ni Dr (med.) na sio Dr (PHD) hana doctorate rekebisha hapo!
 
EMT... I will always apply this... Never get angry. Never make a threat. Reason with people

ndio ni mwanadamu naweza tereza but will try my best...

BUT after all... Heri shari kamili kuliko nusu shari

Ha ha ha ha. Kuna wanadamu wengine hawa reseaon humu. Matokeo yake unajikuta badala ya kuteleza unatelezwa. Matokeo yake unaapply shari kamili kuliko nusu shari. Matokeo yake ban.
 
Ha ha ha ha. Kuna wanadamu wengine hawa reseaon humu. Matokeo yake unajikuta badala ya kuteleza unatelezwa. Matokeo yake unaapply shari kamili kuliko nusu shari. Matokeo yake ban.

So what do you say... Leo iwe mwanzo na mwisho??? lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mbona sijaona list? Nimeona dr Slaa tu! Na ndiye rais halali tangu 2010 oct japo hakai magogoni! Kama hujui fuatilia ccm inatekeleza sera za nani?

Duh! Mkuu unanifanya nicheke usiku huu. Lakini si anaweza kugombea tena 2015? Katiba inamruhusu.
 
So what do you say... Leo iwe mwanzo na mwisho??? lol

No no no. Although there is more to life than politics, they say that all relationships are treated as political.
 
Nawacheck tu kwa mbali na list yenu ntarudi bada kutoa maoni yangu. poleni na kazi
 
No no no. Although there is more to life than politics, they say that all relationships are treated as political.

It is good you have touched the topic... However all those who say all relationships are treated as political entities
are deep down diplomats even if they don't appear so.. And yes, it is the type of subject (politics...) i can only touch if i have extra energy in me.
 
Hapo kwenye red kweli inabidi uwe na extra energy, otherwise ni shari kamili tuu.
 
Duh! Mkuu unanifanya nicheke usiku huu. Lakini si anaweza kugombea tena 2015? Katiba inamruhusu.
2015 hata cdm isiweke mgombea ikaamua kuweka kombati tu lililoandikwa peoplezzzzzz powerrrrrrr itashinda!! Ukitaja tu neno Dr Slaa wazalendo waliopigika wanajua!!
 
Sawa Wakuu kwa maoni yenu natumai vigezo na masharti vimezingatiwa katika kutoa maoni yenu.
 
ni kweli umechakachua mno. Tuanze na hivi
1. lowasa- hana sifa za kuwa raisi wa tanzania ni mchafu kuliko unavyo fikiria
2. huseni mwinyi- sijaona mchango wake katika nchi hii kwanza alitakiwa awe amekwisha jiuzuru kutokana na mabomu ya mbagala na gongo la mboto, c muwajibikaji, au umemuweka kisa mtoto wa raisi msataafu? Basi unge muweka na ridhiwani pamoja na makongolo nyerere
3. sumaye , huyu ni fisadi sana kipindi ubinafishaji umeshika kasi enzi za mkapa alijibinasifishia mali nyingi sana za uma, unge kuwa arusha ungeelewa zaidi story zake
4. nchimbi- hana uwezo wa hata kuwa waziri mkuu, sijui umelenga nini katika kuwa teua hao watu, tupe mchango wake katika taifa hili, ameifanyia nini tanzania?
5. lipumba- huyu ameisha choka sana na ukizingatia cuf wako kwenye ndoa na ccm huyu haamniniki tena ni ndumila kutatu. Ccm b
6.migiro- huyu nae kuwa naibu katibu mkuu wa un c kwamba ni cheo kikubwa sana, na hata cheo cha katibu mkuu wa umoja wa mataifa huwezi linganisha na cheo cha uwaziri mkuu, sifa ya migiro kuteuliwa ilikuwa moja tu, alikuwa waziri wa mambo ya nje pekee mwanamke katika nchi masikini, kama sikosei walikuwa wawili pamoja na wa south africa but bank mun akaona amchukue migiro, na hata hivyo kule un yeye hana say yoyote, ulisha wahi kumsikia hata cnn akitoa tamko? Yeye ni kama alivyo uingereza malikia na waziri mkuu.
7. dr slaa- hapa sina coment kabisa na sina uwezo wa kukoment hapa.

Umeshindwa ku-analyze shida zao zaidi ya ku-generalize, tuhuma lazima zitajwe sio kufikirika na simaanishi kwamba tunataka hukumu ya kisheria ila zisikike wazi na uone wananchi wanahukumu vipi.
1. Umesema EL hana sifa ni mchafu kuliko.. sasa ulipaswa kueleza nikwavipi ni mchafu, wananchi wote wanajua kahusika katika kashfa ya Richmond na hatimaye Dowans lakini tangu kuzuka kwa kashfa hii na yeye kujiuzulu hajawahi kusema lolote na ukumbuke pia kujiuzulu kwake ilikuwa ni kuiokoa serikali sasa wewe jiulize atakapotoka hadharani na kueleza ukweli hali ya hewa itakuwaje?

2. Frederick Sumayi umesema "alijibinafsishia mali nyingi sana za umma", sasa mbona huelezi ni mali zipi hizo na je alijipatia bure au kanunua, wananchi wanajua kuwa Utawala wa Mkapa ulijiuzia mgodi wa kiwira na sakata lile lilivuma na hata hivyo halijaisha sawasawa sasa kama PM wa wakati huo nayeye alijibinafsishia mali nyingi hakika zisingesitirika kwa kipindi chote hicho. Wewe unazungumzia stori za mtaani na sio facts.

3. Slaa hutaki ku-comment na unadai huna uwezo wa ku-comment mimi nafikiri kama umeweza kusema bila vigezo kwamba flani hafai basi ulipaswa kusema pia kwamba anafaa au hafai.
 
Back
Top Bottom