2015 bado ni karibu saana kufikiri kua atakae cover hio nafasi ataleta changes...
Nafasi tuliopo saizi ni tete mno na kurudisha mpaka ikae sawa Wa Tz tukaridhika kazi ipo..
Na hata chama kigeni kiingie kwa miaka mitano ya kwanza badala ya kufanya changes
watakua wamekazana kuadhibu waliopo madarakani juzi, jana na leo so long as wana link na magamba..
Maana woote hao wamekaa ki siasa siasa tu... No uzalendo..
2015 bado ni karibu saana kufikiri kua atakae cover hio nafasi ataleta changes...
Nafasi tuliopo saizi ni tete mno na kurudisha mpaka ikae sawa Wa Tz tukaridhika kazi ipo..
Na hata chama kigeni kiingie kwa miaka mitano ya kwanza badala ya kufanya changes
watakua wamekazana kuadhibu waliopo madarakani juzi, jana na leo so long as wana link na magamba..
Maana woote hao wamekaa ki siasa siasa tu... No uzalendo..
Huwa unangiaga huku kumbe eh?
EMT Nimeanza rasmi leo... Kama upo saana huku i believe tutazidi kutana kama kawa...
Huku rahisi sana kula ban. The day utakayopata ban itakuwa ni breaking news
Dr Mwinyi ni Dr (med.) na sio Dr (PHD) hana doctorate rekebisha hapo!Natumai sifa za watu hawa zinajulikana hapa jamvini.1. E.Lowasa-waziri mkuu mstaafu.. mbunge wa monduli.2. F.Sumaye-waziri mkuu awamu ya 33. H.Mwinyi(PhD)-waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na usalama.Mtoto wa rais mstaafu.4. R.Migiro(PhD)-naibu katibu mkuu UN5. I.Lipumba(Prof)-M/kiti CUF, Mchumi.6. W.Slaa(PhD)-Katibu mkuu CHADEMA, Mwanaharakat/mwanamageuzi. Toa maoni yako nani anatufaa 2015 bila kujali JINSIA, DINI, KABILA wala ITIKADI YA CHAMA.
EMT... I will always apply this... Never get angry. Never make a threat. Reason with people
ndio ni mwanadamu naweza tereza but will try my best...
BUT after all... Heri shari kamili kuliko nusu shari
Ha ha ha ha. Kuna wanadamu wengine hawa reseaon humu. Matokeo yake unajikuta badala ya kuteleza unatelezwa. Matokeo yake unaapply shari kamili kuliko nusu shari. Matokeo yake ban.
Mbona sijaona list? Nimeona dr Slaa tu! Na ndiye rais halali tangu 2010 oct japo hakai magogoni! Kama hujui fuatilia ccm inatekeleza sera za nani?
So what do you say... Leo iwe mwanzo na mwisho??? lol
No no no. Although there is more to life than politics, they say that all relationships are treated as political.
It is good you have touched the topic... However all those who say all relationships are treated as political entities
are deep down diplomats even if they don't appear so.. And yes, it is the type of subject (politics...) i can only touch if i have extra energy in me.
Hapo kwenye red kweli inabidi uwe na extra energy, otherwise ni shari kamili tuu.
2015 hata cdm isiweke mgombea ikaamua kuweka kombati tu lililoandikwa peoplezzzzzz powerrrrrrr itashinda!! Ukitaja tu neno Dr Slaa wazalendo waliopigika wanajua!!Duh! Mkuu unanifanya nicheke usiku huu. Lakini si anaweza kugombea tena 2015? Katiba inamruhusu.
ni kweli umechakachua mno. Tuanze na hivi
1. lowasa- hana sifa za kuwa raisi wa tanzania ni mchafu kuliko unavyo fikiria
2. huseni mwinyi- sijaona mchango wake katika nchi hii kwanza alitakiwa awe amekwisha jiuzuru kutokana na mabomu ya mbagala na gongo la mboto, c muwajibikaji, au umemuweka kisa mtoto wa raisi msataafu? Basi unge muweka na ridhiwani pamoja na makongolo nyerere
3. sumaye , huyu ni fisadi sana kipindi ubinafishaji umeshika kasi enzi za mkapa alijibinasifishia mali nyingi sana za uma, unge kuwa arusha ungeelewa zaidi story zake
4. nchimbi- hana uwezo wa hata kuwa waziri mkuu, sijui umelenga nini katika kuwa teua hao watu, tupe mchango wake katika taifa hili, ameifanyia nini tanzania?
5. lipumba- huyu ameisha choka sana na ukizingatia cuf wako kwenye ndoa na ccm huyu haamniniki tena ni ndumila kutatu. Ccm b
6.migiro- huyu nae kuwa naibu katibu mkuu wa un c kwamba ni cheo kikubwa sana, na hata cheo cha katibu mkuu wa umoja wa mataifa huwezi linganisha na cheo cha uwaziri mkuu, sifa ya migiro kuteuliwa ilikuwa moja tu, alikuwa waziri wa mambo ya nje pekee mwanamke katika nchi masikini, kama sikosei walikuwa wawili pamoja na wa south africa but bank mun akaona amchukue migiro, na hata hivyo kule un yeye hana say yoyote, ulisha wahi kumsikia hata cnn akitoa tamko? Yeye ni kama alivyo uingereza malikia na waziri mkuu.
7. dr slaa- hapa sina coment kabisa na sina uwezo wa kukoment hapa.