Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Safi sana ni bora kusemana hivyo hivyo,na pia umesahau ule usemi usemao "mpandangazi hushuka"
"Aliye juu mngoje chini"
mbona wote waliovaa nguo za kijani wamekalia kiti hicho cha mbao? au mmemuona Lowassa tu? Mhhh mn Jmbo. Mke ampendaye mumewe humlinda siku zote mlitaka Regina achekelee, wanaochekelea down fall za waume zao ni wale wanawake maataahira.Ama kweli siasa ni mchezo mchafu, nikikumbuka siku alipotutangazia kwamba anaachia sofa seti zake na kuingia uraiani na jinsi mkewe alivyo bubujikwa machozi leo hii naona huruma ingawa ujasiri wake utaweza kumrejesha serikalini tukaona tena anarudi kwenye kiti chake cha enzi kama kawaida.
Enzi za Sofa
View attachment 1391
Hapa ni Mambo ya Nyakati
View attachment 1392
mbona wote waliovaa nguo za kijani wamekalia kiti hicho cha mbao? au mmemuona Lowassa tu? Mhhh mn Jmbo. Mke ampendaye mumewe humlinda siku zote mlitaka Regina achekelee, wanaochekelea down fall za waume zao ni wale wanawake maataahira.
Huyu FISADI anawahaibisha CCM kwa nini wasimvue hiyo nguo?
Hau siku hizi ni nguo za MAFISADI? Mwangalie anavyojuta, na hapo bado fedha lazima zirudi tu waangalie wasije tumia sana maana hawajui wakati wala saa watanzania watakapo anza kudai.
Mkapa hakujua kuna siku atadaiwa na wakati huo hata nguvu hana, asubiri tu lazima Keko afike tu. Kwa hiyo na huyu mzee is just a matter of time, ngoja JK atoke OFIsini, si ndiye anayewalinda hawa MAFISADI?
MM iwa najiuliza siku zote...hivi watoto wa MIFISADI kama hili wanajisikiaje kwenye jamii kwani kila kukicha huu sasa umekuwa wimbo.Na hili FISADI limetuiingiza katika mateso sana kila kitu kimepanda liliwaambia MAWAZIRI wapite mikoani kuwadanganya wananchi eti BAJETI ya 2007/2008 ni nzuri nawasifu sana wananchi wote wale walio kuwa na upeo kuwa bajeti ilikuwa ni ya machungu na kuizomea hii MIFISADI sasa ni kuwaondolea uvivu dawa yao ni kuizomea tu kila ipitapo yamezidi kulindana baadae tutatumia nguvu ya UUMA kuyamaliza kabisa.
Mbona kibaka anapigwa mawe na anachomwa hii MIFISADI mbona tunashindwa kuiishughulikia wkt tumeshaambiwa yalikuwa yanajichotea BILLIONS OF MIPESA??KWA NN WAJUMBE?
Lakini tunayakubali maamuzi yake, (maamuzi ya Lowassa)Ama kweli siasa ni mchezo mchafu, nikikumbuka siku alipotutangazia kwamba anaachia sofa seti zake na kuingia uraiani na jinsi mkewe alivyo bubujikwa machozi leo hii NAFURAHI SANA ingawa ujasiri wake utaweza kumrejesha serikalini tukaona tena anarudi kwenye kiti chake cha enzi kama kawaida.
Enzi za Sofa
View attachment 1391
Hapa ni Mambo ya Nyakati
View attachment 1392