We Mvivu Daima,
Naona hapa umetudanganya! Kwanza ulianza habari kuwa ...inasemekana....(yaani hukuwepo umesikia tu kwa watu), sentensi iliyofuata unasema....Ilikuwa jumapili ya tarehe 21/3/2010 niliposhikwa na butwaa kuona Lowasa, mkewe Rejina na wasaidizi wake wakigawa tisheti zenye maandishi IMEKWISHA kanisani Monduli (je inamaanisha hapa kuwa ulikuwepo in person na kuona ugawaji ukitendeka? kama ulikuwepo lilikuwa kanisa lipi?,
halafu uwongo wako mwnigine unamalizia...Inasemekana kuwa waumini wa makanisa ya katoliki na Lutheran waligombania Tisheti hizo kudhihirisha kuwa WAMEDANGANYIKA. (hapa tena umeonyesha kuwa haukuwepo katika eneo la tukio, lakini pia kukuambia wewe ni mwongo...Walutheri na Wakatoliki waligombania hizo Tshirts wapi maana hawa watu wanasali katika makanisa tofauti....hapa inaonyesha wewe ni mwongo mkubwa sana na haufai kuwa source ya information ya JF...moderator inabidi aangalie post zako...maana si za kweli na hazijafanyiwa utafiti wala upembuzi wowote kabla haijapostiwa.....you have misleaded us!!!!!) Acha unafiki na uongo. Say the truth to ashame the devil. Your info pose integrity and reliability diubtness!!!!!! If you are offended you deserved it as we can read between the lines!!!!