Hata Kikwete alikuwa kwenye hiyo black list, lakini kumbuka kwa ccm ,kila jambo linawezekana, na kwa Lowasa na ccm "never say never!"
tembea hata uchi lakini, lakini fisadi ni fisadi tu. Udhaifu wa CCM kumwadabisha mdhalimu mwenzao haitufanyi tuone Lowassa ni msafi. Msiitie najisi nchi yetu, tumechoka na mabalaa
Bora huyu anayesema na kutekeleza mkuu kulilo ambaye analia tv.mi lowasa namkubali sanahata mimi namkubali Lowassa, lakini kama fisadi la kimataifa, aliyetaka kutuletea mpaka mvua ya kichina. nazidi kumkubali kwa kuwa naona kila dalili za watu kuanza kumuabudu
helow,
ndugu EL
NAAKUPONGEZA kwa dhati enzi zako za uwazir.mkuu...........
nakumbuka, ndio kwanza mm nilikuwa naanza kazi......
nakupongeza kwa.mishahara kutoka kwa wakati...... ulitangaza tarehe 23 iwe umetoka, tena uliamuru wahasibu.walipa mishahara wafanye kazi hadi weekend iwapo tarehe inaangukia hyo tarehe
WAFANYAKAZI WA KIMA CHA CHINI TUNAZO KURA ZAKO 2015
Hadi sasa, cijaelewa sera za CDM kwa wafanyakazi......mnnn
this is histry my dia...tumeshagundua tatizo tayari, cha muhimu kutafutia ufumbuzi hili suala ikiwa ni pamoja na kustrengthen auditing system yetu! Sasa hawa ndugu zangu CDM kila mara wanalishupalia hili suala. Nachotaka kusikia kutoka kwao ni malengo yao kwa Tanzania hii kama watapewa dhamana ya kuiongoza.Rejao, Rejao rejaooo! You never cease to amaze me kwa kiwango chako cha ujinga! Kupinga ufisadi kumepitwa na wakati? Mh! Nashindwa hata kuendelea maana sijui nianzie wapi kukuelewesha ubaya wa ufisadi na kwa nini tunatakiwa kuupinga mpak a utokomee! Hilo la katiba ndio bora ninyamaze kabisa!
Thank U, you have put the Record clearly hereAcha hadithi za kutunga ww, kama barua ya kujiuzulu ilikubaliwa usiku wa manane, mbona hautuelezi nini kilimfanya EL kutangaza bungeni asubuhi yake kujiuzulu, na barua hiyo ya kukubaliwa EL kujiuzulu alipewa nani wakati hata spika wa kipindi hicho amewahi kukuaririwa akisema kujiuzulu kwa EL ndilo jambo lililomshtua mno kipindi cha uongozi wake- Hizi hadithi zenu za kutunga pelekeni huko vijiweni kwenu!!!
Hivi huoni sisiemu yako ilivyo pwaya?raisi hana kazi anayofanya zaidi ya Kukwea pipa everyday,hebu acha ushabiki wa simba na yanga CCM imeshindwa kazi.Tukiacha his black side, Lowassa ni mchapa kazi! hamna mtu anayeweza kupinga hilo.
Mpaka sasa sijajua msimamo wa chadema kwa nchi hii. Sijui wakiingia madarakani watafanya nini. Wana sera moja tu ya kupigana ufisadi, na hii imeshapitwa na wakati. Sera ya katiba mpya nayo tayari CCM imeshawapiga bao.
this is histry my dia...tumeshagundua tatizo tayari, cha muhimu kutafutia ufumbuzi hili suala ikiwa ni pamoja na kustrengthen auditing system yetu! Sasa hawa ndugu zangu CDM kila mara wanalishupalia hili suala. Nachotaka kusikia kutoka kwao ni malengo yao kwa Tanzania hii kama watapewa dhamana ya kuiongoza.
:focus::focus: hapa hatumuongelei JK, ndio maana mimi sijamwongea padre!Hivi huoni sisiemu yako ilivyo pwaya?raisi hana kazi anayofanya zaidi ya Kukwea pipa everyday,hebu acha ushabiki wa simba na yanga CCM imeshindwa kazi.
Asante Mama Salma
Wanajijali wenyewe, huwa nasema siku zote, CDM ni kama taasisi ya watu fulani, wenye malengo yao wenyewe wanayoyajua wao.mgaya wakati anapambana na CCM jamaaa walikuwa kimyaaaa
hadi leo CDM hawasemi kuhusu wafanyalazi hasa mshahara!!!"'''''
wana dili na fujooooiii, maandamano!!!'''@#%&#
this is histry my dia...tumeshagundua tatizo tayari, cha muhimu kutafutia ufumbuzi hili suala ikiwa ni pamoja na kustrengthen auditing system yetu! Sasa hawa ndugu zangu CDM kila mara wanalishupalia hili suala. Nachotaka kusikia kutoka kwao ni malengo yao kwa Tanzania hii kama watapewa dhamana ya kuiongoza.
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ni CHENGE au alishaondolewa??
Acha hadithi za kutunga ww, kama barua ya kujiuzulu ilikubaliwa usiku wa manane, mbona hautuelezi nini kilimfanya EL kutangaza bungeni asubuhi yake kujiuzulu, na barua hiyo ya kukubaliwa EL kujiuzulu alipewa nani wakati hata spika wa kipindi hicho amewahi kukuaririwa akisema kujiuzulu kwa EL ndilo jambo lililomshtua mno kipindi cha uongozi wake- Hizi hadithi zenu za kutunga pelekeni huko vijiweni kwenu!!!
Watu kwa kucheza na maneno ni mahodari sana, hivi Lowassa kasema nini kuhusu Richmond zaidi ya kusema alimpigia simu Kikwete alipokuwa nje ya nchi akamwambia asubiri ushauri wa makatibu wakuu.
Hapo ndiyo Lowassa kasema Richmond ya Kikwete au ina husiana na Kikwete? Mnanshangaza!
Mi nakuunga mkono ccm wasipo msimamisha lowasa inakula kwao