Elections 2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

Elections 2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

Kwani Tukisema waislam au wakatoliki mtuombee ni kosa? Hakusema nchi haijawahi kuongozwa na Waluther, Huo ni uzushi.
 
In politics, there is neither permanent friends nor permanent enemies!, there is only a common interest!.
Wale wapenzi wa huyu jamaa yangu msiwe na wasiwasi, kauli hizi ni payment tuu ya kitu kinachoitwa "lip services", alisema tutajadiliana jinsi ya kuvuka daraja, tutakapofika darajani!. Kwa sababu sasa bado hatujafika darajani, subirieni tutakapofika, kama lengo ni kuvuka daraja, then itatumika njia yoyote kuvukia, na ikitokea kivuko cha CCM kikamtosa mtoni, atashika kamba yoyote kujiokoa afike salama, vinginevyo kama na yeye ameanza kukata tamaa, na sasa yuko tayari kuzama na meli mbovu wafe wote!.

Baada ya Mrema kusema mbovu siku ile kule bungeni na kukiuka the rule of "collective responsibility" nilimuuliza kama atahama CCM!, alisema "sihami na nitafia CCM!", hata mwezi haukupita alihamia NCCR!.
Lilipotokea tifu huko NCCR mako pia nilimuuliza tena kama atahama, akasema this time haami NCCR, atafia NCCR na ko haukupita mwezi alihamia TLP!. Kwa vile TLP ametangazwa ni rais wa maisha "life president" hivyo msishangae mambo yakibadilika!.

Kwa situation ilivyo as of now, hutu jamaa ndio maarufu kuliko mgombea yoyote mwingine wa CCM save for his frail health status, ila pia Chadema haina mgombea wa calibre yake!, ukawa haina mgombea kabisa!, kama afya sio mgogoro, CCM wakimtosa, he has no any other option ya kutimiza ndoto yake but to cross the line!, kazi ya kwanza atawaambia Watanzania mmiliki halisi wa Richmond na why he had to carry that cross!, watt watabaki midomo wazi!, then at a cross the line and believe me, tutampa and this is the only way CCM Chali!.

Pasco.

Mzee Mwanakijiji likes this.

Mkuu Mzee Mwanakijiji, asante kukumbushana taarifa kama hizi, za nini kilisemwa lini, na hatimaye nini kimekuja kutokea!. Hii ni t
aarifa ya 19th July 2014 19:00.

sasa pia ni muhimu ukiweka kumbukumbu zako sawa kuwa tarehe 25 October, ni Lowassa!, unless otherwise!.

Pasco
 

Mzee Mwanakijiji likes this.

Mkuu Mzee Mwanakijiji, asante kukumbushana taarifa kama hizi, za nini kilisemwa lini, na hatimaye nini kimekuja kutokea!. Hii ni taarifa ya 19th July 2014 19:00.

sasa pia ni muhimu ukiweka kumbukumbu zako sawa kuwa tarehe 25 October, ni Lowassa!, unless otherwise!.

Pasco

Mkuu Pasco

Unalo la kuongeza baada ya sarakasi za kisiasa zilizodumu kwa miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015?
 
Mkuu pasco

Tathmini imekamilika?

Mwelekeo ni ule ule kadri ya tathmini ama tutarajie tofauti.

Siasa is not for everyone.
 
Back
Top Bottom