Elections 2015 Lowassa akanusha tetesi za kuhamia CHADEMA

Kwani Tukisema waislam au wakatoliki mtuombee ni kosa? Hakusema nchi haijawahi kuongozwa na Waluther, Huo ni uzushi.
 

Mzee Mwanakijiji likes this.

Mkuu Mzee Mwanakijiji, asante kukumbushana taarifa kama hizi, za nini kilisemwa lini, na hatimaye nini kimekuja kutokea!. Hii ni t
aarifa ya 19th July 2014 19:00.

sasa pia ni muhimu ukiweka kumbukumbu zako sawa kuwa tarehe 25 October, ni Lowassa!, unless otherwise!.

Pasco
 

Mkuu Pasco

Unalo la kuongeza baada ya sarakasi za kisiasa zilizodumu kwa miaka miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015?
 
Mkuu pasco

Tathmini imekamilika?

Mwelekeo ni ule ule kadri ya tathmini ama tutarajie tofauti.

Siasa is not for everyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…