Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

Hahahahah Divabeyonce mambo.

Uchaguzi huu umetufanya wengi tuwe psychological victims .

Hawa wasanii hawa shabaash!,.
Poa mkuu kweli umeaxha psychological problem kubwa tu kwa wengi ila sio kwa msanii unayemtetea ka unalipwa hafu yeye hajitambui na kusimamia side ya kitu kiko wrong lakini anapindisha nweeeh . Uchaguzi upite tu ila kushabikia wakata viuno stejini ndo mwisho. Wasanii ka kina sugu na Roma msema kweli nitawaheshimu daima.
 
Last edited by a moderator:
1. Tiwa savage
2. Davido
3. Dr. Sid
4. Yemi Alade
5. Orezi

Ukitaka nkutajie na wengine nambie...

ROMA kasoma mlimani Computer Science....fatilia mkuu, Refer mathematics ''..me nmesoma PCM sio PCB...'' kende

Nimekwambia nitajie wasanii walio hot, hapo nimeona watatu tu Davido Tiwa na Yemi wengine maunderground. Ok namimi nakutajia wabongo Nikki2, MwanaFa (hawa wana masters), Crazy GK (Degree). In short muziki ni kipaji sio lazima uwe na elimu, mbona wasanii wengi tu duniani wametusua bila degree, hata Marekani wenye degree hawafiki hata 20%.

By the way Roma ana Diploma sio Degree
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Orezi ni underground???....Dr. Sid ni underground???
Sema hufatilii mziki wa Nigeria....Basi taja watano walio hot, then nkwambie wana elimu gan??
Basi nkuongezee na hawa Olamide, Kiss Daniel, Reekado Banks, Wande Coal......
NB: Wizkid aliamua kudrop shule kdg ili akomae na mziki....alikuwa anasoma Lead City University masuala ya International Relation kende
 
Last edited by a moderator:
Nmependa Jinsi ulivojieleza. Na kiukwel diamond n boya (ukosefu wa elimu pia unachangia), kwasababu kumponda EL wazi wazi ni kuwafukuza mashabiki wengi wazi wazi

mbona roma kuwaponda ccm hamjamwambia hivo??? au diamond ndio aongee uongo? dini yake haimruhusu kuongea uongo, kawapa ukweli je angewatungia na wimbo wa kuponda kama roma si tungekuwa tumewazika watu hapa
 

Oyaaa acha kujivua nguo basiii

kwa mtindo huo tumpe Urais Magufuli maana ana doctorate tena engineering sio mchezo, kufananisha na mtu mwenye elimu ya kawaida sawa na mimi lowasa
 
1. Tiwa savage
2. Davido
3. Dr. Sid
4. Yemi Alade
5. Orezi

Ukitaka nkutajie na wengine nambie...

ROMA kasoma mlimani Computer Science....fatilia mkuu, Refer mathematics ''..me nmesoma PCM sio PCB...'' kende

Taja wa bongo wenye degree af wapo hot!! hahaha kama sio wote wananchi wa kawaida roma mwenyewe pesa anayolipwa diamond kwa show roma hta apige kumi bado haifiki hahahaha elimu darasani ndugu na CCM ndio chama kinachoongoza kuwa na Ma Professa wengi kwa mtindo huo kingekuwa ndio chama bora kupitilizaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Oyaaa acha kujivua nguo basiii

kwa mtindo huo tumpe Urais Magufuli maana ana doctorate tena engineering sio mchezo, kufananisha na mtu mwenye elimu ya kawaida sawa na mimi lowasa

Acha kujivua nguo wewe.....Engineering gan aliyosoma magufuli???.....mbona una mihemko hivo, nambie sasa hiyo Engineering aliyosomea.
 
Kiba=Diamond wote ushuuzi tu

kwa mtindo huo unawatukana wazazi wako kwa kuwaweka CCM madarakani miaka yote hiyo maana mabadiliko watu walikuwa wanayataka tokea vyamavingi vimeanza 1995 mambo yalikuwa moto sana, ila bado ccm ikaendelea kuongoza TZ
 

Huwezi amini ile kapost mahaba yake kwa Magufuli nikaondoa pic zake insta, nikajiremove kwenye group lake, na sijapiga kura mpaka leo huyu diamond nilikuwa hadi naiba za watu navote usiku kucha ili ashinde sina hamu naye tena
 
Acha kujivua nguo wewe.....Engineering gan aliyosoma magufuli???.....mbona una mihemko hivo, nambie sasa hiyo Engineering aliyosomea.

hahahaha sijakosea sana nilivhanganya hapo

Shahada ya
Uzamivu ya Kemia kuanzia mwaka
2000 hadi 2009 ambayo aliihitimu
katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
na kuwa mhitimu wa shahada ya
udaktari.

lakini bado haibadilishi point kuwa lowasa yupo chini kielimu huwezi kufananisha na Magufuli, kile ni kichwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na kwa point yako kwamba hta wasanii muhimu kuwa na degree huoni kuwa lowasa alitakiwa awe hta na doctorate???
 
Ulichanganya kitu gan....unakurupuka sana mkuu, huez jenga hoja kwa huo mtindo wa kukurupuka na kusikia story kwa watu.
Hujachanganya, ulikua hujui. Kidingi
 
Last edited by a moderator:
Huwezi amini ile kapost mahaba yake kwa Magufuli nikaondoa pic zake insta, nikajiremove kwenye group lake, na sijapiga kura mpaka leo huyu diamond nilikuwa hadi naiba za watu navote usiku kucha ili ashinde sina hamu naye tena

pole sana !!!

Ndio matatizo ya watu mliobarehe juzi na kupata vichinjio, ilitakiwa kuwe kuna somo special la uraia kuhusu Uchaguzi mkuu maana naona watu wengi mnaangamia kwa kukosa maarifa


Kama ronaldooooooooooooo!!!!


wazee wa kusankooro burudani eeerdayyy
 
Ulichanganya kitu gan....unakurupuka sana mkuu, huez jenga hoja kwa huo mtindo wa kukurupuka na kusikia story kwa watu.
Hujachanganya, ulikua hujui. Kidingi

mkuu mbona hujajibu hoja???

Mo point yangu ya msingi ilikuwa ni ana doctorate!!!!! yaaaani ni DOKTAAAA!!

Wakati mwenzake yupo kama kidingi tu!
 
Last edited by a moderator:
Hoja ni elimu kwa wasanii wa bongo na naija, sioni hoja yako mimi. Kidingi
 
Last edited by a moderator:

Weeee tena nitake radhi kwa maana nina kuzaa wewe usinichukulie poa
 
Mimi kuanzia aimbe wimbo pale jangwani wa kuwakashifu ukawa, simpendi kama nisivyo mpenda nyoka. Yaani hatokaa apate kura yangu hata moja. Yaani nyimbo zake zote nimedelete kwenye simu yangu. Na haitoishia hapo nitahamasisha wana ukawa wampuuze na kumuona adui namba moja wa vijana. Huu mziki kumbe tupo wengi, sasa ataucheza vizuri
 

Mumpe support Roma basii ili tujuwe mpo wengi maana ni fekero mbili tatu tu ndio zinacomment hivoo, lakini viewers youtube kibao, kitaani mapikipiki kama kawaida diamond tu, mitandao ya kijamii wanaomfuatilia wanaongezeka kila dakika

Sasa nyie ambao hamumfuatilii ni wepi???
 
Unaongelea mastory ya zamani. Fanya research sasaiv uone. Watu wamemuona lofa Dr slaa ndo awe huyu domo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…