Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Poa mkuu kweli umeaxha psychological problem kubwa tu kwa wengi ila sio kwa msanii unayemtetea ka unalipwa hafu yeye hajitambui na kusimamia side ya kitu kiko wrong lakini anapindisha nweeeh . Uchaguzi upite tu ila kushabikia wakata viuno stejini ndo mwisho. Wasanii ka kina sugu na Roma msema kweli nitawaheshimu daima.Hahahahah Divabeyonce mambo.
Uchaguzi huu umetufanya wengi tuwe psychological victims .
Hawa wasanii hawa shabaash!,.
Last edited by a moderator: