Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

Ama kweli dunia uwanja wa vita post zote hamna kitu bas wadogo zangu nawaombeni kitu kimoja jiwekehen utaratibu wa kusoma na kuondoa ujinga na nchi hii haitakombolewa kwa kiwango cha hoja zinazotolewa hapa. Wasanii waachen maana hata bima za afya hawana na kwetu ss tujikite katika kutafuta maarifa binafs kwa ajili yetu ss na jamii zetu
 
Waliosoma na wajuz wa mambo kwao sisi na upuuz wetu ni fursa yao
 
Unaongelea mastory ya zamani. Fanya research sasaiv uone. Watu wamemuona lofa Dr slaa ndo awe huyu domo!!

Ndani ya siku moja Tiffah alipata followers 40,000 na mpaka leo mwezi anao zaidi ya laki na kumi.. na huyo raisi wenu yupo kule anamamiezi lakini hta nusu ya tiffah hajafikia atamuweza diamond????

Afu kama mpo wengi mngemuunfollow diamond mumfollow Roma afikie hta Lakimbili na nusu awe Hata Robo ya Diamond lakini holaaaaaaaaa fekero chache za matusi matusi zisikupe wazimu kijana
 
Yaani hawa ukawa mahaba yao wanataka kila mtu apende nchi ya democracy hii

Afu wapo wachache sana nivile wengiwao wanastress sana, mtandaoni ndio sehemu pekee pa kuzitolea kupitia matusi, lawama hahahahahaha


MAGUFULI NDIO RAISI WANGUUUUU






MAGUFULI








MAGUFULIIIIIII









MAGUFULIIIIIIII





TEAM WASAFIIIIII






DIAMOND NDIO KIBOKO YAO!!!!!!!!






WATANYOOOKA TU!!!!
 


View attachment 285586
 
Me too.
Nikiwasha Laptop utanidai "like"
 

Nakuelewa Mama.Huyo msanii na mimi tutaonana baada ya uchaguzi.Siwezi kujilazimisha kumkubali kwa sasa.Amesaliti hisia zangu.
Namtakia kila la heri, kura yangu ataisikia redioni.Na makofia yake ya mkeka kama marehemu babu yangu!
 
Oyaaa acha kujivua nguo basiii

kwa mtindo huo tumpe Urais Magufuli maana ana doctorate tena engineering sio mchezo, kufananisha na mtu mwenye elimu ya kawaida sawa na mimi lowasa

Saa nyingine ni vizuri kuficha ujinga, hebu tuambie ni chuo gani Maguli alichukua Doctorate ya Engineering! Jaribu kufuatilia vitu na acha ushabiki mandazi
 
Inaelekea haujamletea upungufu, siku aliyorusha ya ccm akikywa na followers eg. Instagram 943k, leo kazidi million.

Pole unaumia roho mwenzako anapiga pesa.
 
Wewe sio andazi tu' ni Mpumbavu na Lofa unayekuja tumia jina la icon hapa ili upate attention. Pumbavuu.
Ulikua huna haja ya kuniita sabiki maandazi!Lakini ucjari labda ndo kiwango chako cha utoaji hoja kilipo fikia.

Ulikua Ni ushauri Tu,sasa Kama mtu unaambiwa facts unakimbilia kuwaita watu maandazi;pole Sana WCB
 
hata mi nlikua namkubali ila sasa anafanya uchafu kule insta.

Lowassaaa mabadilikoo!
 
Tangia siku ile diamond alipojitoa ufahamu na kutokwa na mapovu nilishamsahau kwenye akili yangu.
 
Nakuelewa Mama.Huyo msanii na mimi tutaonana baada ya uchaguzi.Siwezi kujilazimisha kumkubali kwa sasa.Amesaliti hisia zangu.
Namtakia kila la heri, kura yangu ataisikia redioni.Na makofia yake ya mkeka kama marehemu babu yangu!

Usimfanyie hivo King, unampenda kimahaba au anamziki mzuri?? kama kimahaba upo sahihi na maamuzi yako
 
Wewe sio andazi tu' ni Mpumbavu na Lofa unayekuja tumia jina la icon hapa ili upate attention. Pumbavuu.
Mashimo yote ya matusi yanajulikana yanakotoka ndani ya nchi hii ni kina nani;sishangai harufu mbaya unayotoa kutoka katik kinywa chako hio inasababishwa na uharo ambao wakubwa wako wanauharisha mbele zenu watoto wadogo hatimaye na nyinyi mmerithi sasa unamwakaga Tu kinyesi kupitia mdomo wako.

Ni laana ya matusi na kwakuwa mmelaaniwa mtatukana kuanzia watoto hadi watu wazima kizazi na ukoo WA makafiri matusi ndio ukombozi wenu.
 
Saa nyingine ni vizuri kuficha ujinga, hebu tuambie ni chuo gani Maguli alichukua Doctorate ya Engineering! Jaribu kufuatilia vitu na acha ushabiki mandazi

Magufuli alianza elimu ya msingi
katika Shule ya Msingi Chato
wilayani Chato mwaka 1967 na
alihitimu mwaka 1974. Alifaulu na
kujiunga na Shule ya Seminari
Katoke, Biharamulo ambako alisoma
kidato cha Kwanza na cha Pili
mwaka 1975 - 1977, akahamishiwa
Shule ya Sekondari Lake, Mwanza
ambako alisoma kidato cha Tatu na
Nne mwaka 1977 - 1978.

Masomo ya kidato cha Tano na Sita
aliyapata mkoani Iringa katika Shule
ya Sekondari Mkwawa kati ya
mwaka 1979 na 1981. Halafu alirudi
Chuo cha Ualimu Mkwawa kusomea
Stashahada ya Elimu ya Sayansi
akibobea kwenye masomo ya Kemia,
Hisabati na Elimu; hii ilikuwa
mwaka 1981 – 1982.

Alipopata stashahada yake, moja kwa
moja alikwenda kuanza kazi ya
ualimu katika Shule ya Sekondari
Sengerema, akifundisha masomo ya
Kemia na Hisabati. Ajira hii aliifanya
kati ya mwaka 1982 na 1983.

Kisha alijiunga na Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) kwa mujibu wa sheria
akianzia Makutupora, Dodoma (Julai
- Desemba 1983), kisha akaenda
kambi ya Makuyuni, Arusha (Januari
hadi Machi 1984) na akamalizia
katika kambi ya Mpwapwa mkoani
Dodoma (Machi – Juni 1984).

Mwaka 1985 alijiunga Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam akisomea Shahada
ya Sayansi ya Elimu akibobea
kwenye masomo ya Kemia na
Hisabati na alihitimu mwaka 1988.
Mwaka 1989 - 1995 alifanya kazi
katika kiwanda cha Nyanza
Cooperative Union (Ltd.) akiwa
mkemia na wakati huohuo alianza
masomo ya shahada ya uzamili ya
Sayansi katika Chuo Kikuu cha
Salford nchini Uingereza,
kikishirikiana na Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam ambako alisoma kati ya
mwaka 1991 na 1994.

Magufuli aliendelea na elimu ya juu
zaidi kwa maana ya Shahada ya
Uzamivu ya Kemia kuanzia mwaka
2000 hadi 2009 ambayo aliihitimu
katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
na kuwa mhitimu wa shahada ya
udaktari.





Anaitwa DR. JOHN POMBE MAGUFULI

ulivo boya hjui hata hiyo Dr ya mwanzoni inamaanisha nini au ulijuwa wanaweka pambo ??? ahahahaahahash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…