I love you jirani.
Tusubiri baada ya october.Nashindwa kujilazimisha mie.
Yani mi nilikuwa namtetea hatari aisee hadi watu huku celebrity tumewekeana vinyongo woi jamani tusameheaneni life liendelee. Mi ndo basi tena kwake aisee
Kabisa hili nalo neno wabebe misalaba yao wenyewe.Muhimu tusameheane wakuu .
Na hao wasanii wajibebe wenyewe.
Kwendraaaaa
Nyie ndo mashabiki wauongo. How can you love mtu leo kesho umchukie kisha siasa?
Ina maana kama unapenda team ya simba na huyo LOWASA ni yanga halaf ajitangaze kura hutompigia sio?
Ishiaaaaaa tena ndo nyie hata ku vote nehihe
Huwezi kumpangia msanii chaguo lake la kisiasa kwa kisingizio kuwa mashabiki wake wana upendeleo fulani wa kisiasa kwani nae ni raia mwenye haki zote.
Kama inafikia hatua eti msanii nae apangiwe chaguo la kisiasa, hiyo ni dalili ya kudumaa kwa fikra za wenye mtazamo kama huo. Na si kweli kuwa Wasanii wanaounga mkono CCM wamefuata pesa tu huo ni mtazamo wa kitoto na si Ukawa wote wenye mtazamo finyu kama wa hii thread.
Mbona sisi wengine si wana ukawa lakini Tunasikiliza sana nyimbo na kazi nyingine za wasanii wanaounga mkono ukawa? Tunaelewa hazihusiani na siasa. Sasa leo mtu anakurupuka na thread ya ajabuajabu tu, ili mradi eti nae kazungumza.
Huwezi kumpangia msanii chaguo lake la kisiasa kwa kisingizio kuwa mashabiki wake wana upendeleo fulani wa kisiasa kwani nae ni raia mwenye haki zote.
Kama inafikia hatua eti msanii nae apangiwe chaguo la kisiasa, hiyo ni dalili ya kudumaa kwa fikra za wenye mtazamo kama huo. Na si kweli kuwa Wasanii wanaounga mkono CCM wamefuata pesa tu huo ni mtazamo wa kitoto na si Ukawa wote wenye mtazamo finyu kama wa hii thread.
Mbona sisi wengine si wana ukawa lakini Tunasikiliza sana nyimbo na kazi nyingine za wasanii wanaounga mkono ukawa? Tunaelewa hazihusiani na siasa. Sasa leo mtu anakurupuka na thread ya ajabuajabu tu, ili mradi eti nae kazungumza.
Him being a celebrity makes whatever he says cause controversy in the society this simply being that we vary in opinions. Be it politics, sports, sexual preference or just anythingWhy are you trying to divert attention away from the truth!
Nani kasema tunamkataza kuwa Na Chama akipendacho,hiyo haikua point yangu,just go again through my thread and get my point!
Next time don't lower your understanding by comparing between politics' versus football!
Michezo haijawahi kuleta uadui zaidi ya utani wakudumu na ndio maana michezo hutumika kama nguzo kuu ya kujenga umoja,but when you are talking about politics that is something else!
Siasa ya nchi Ina hatma ya moja kwa mja kwa mwananchi lakini mpira no.
Anyway that wasn't my theme!Issue iliopo hapa is; these celebrities must know how to use their words when it comes to sensitive issues like politics!
Elimu ina umuhimu sana jaman, hasa kwa hawa wanamziki wetu....Elimu hakuna kabisa kichwani.
Ndo maana Nigeria wamepiga sana hatua, 80% ya wanamziki wakali wana degree zao....bongo wenye degree hata watano cjui km wanafika, Nawajua ROMA na Nikki wa II tu...
Hebu nitajie wasanii watano wa Nigeria walio 'hot' wenye degree, by the way Roma hana degree
1. Tiwa savage
2. Davido
3. Dr. Sid
4. Yemi Alade
5. Orezi
Ukitaka nkutajie na wengine nambie...
ROMA kasoma mlimani Computer Science....fatilia mkuu, Refer mathematics ''..me nmesoma PCM sio PCB...'' kende
The 2015 general election has indeed seen an array of Nigerian artistes entertaining crowds at different campaign rallies across the countries as they the artistes also use the medium to get close to their fans.
More, at Nigerian FilmsTo appreciate his relevance in the industry, singer, Davido, was on ground to entertain the crowd that turned out for the All Progressive Grand Alliance (APGA) rallies at Ekwueme Square, Awka, Anambra state.
Recall that the singer has once performed for the All Progressive Congress (APC) rally in Lagos, along with singer, Olamide, and the Mavin crew.
Pregnant Mavin singer dances shoki at APC campaign rally
Who ever said pregnancy means slowing down clearly wasn't referring to Nigerian top female artiste Tiwa Savage
The fact that she is pregnant is not slowing her down at all, the mummy-to-be was present alongside the rest of the Mavin crew last week Friday January 30, 2015 at an APC rally supporting presidential candidates Buhari and Osinbajo. Tiwa displayed her impressive shoki dancing skills to the thrill of the large crowd.
7 Top Music Stars Took APC Campaign To Another Level
Just like Olamide, who sang a song proclaiming the All Progressives Congress (APC) presidential candidate, Rtd Gen Buhari, and his running mate, Prof Yemi Osibanjo, as the change that Nigeria truly needs. Music stars Yemi Alade, Flavour, Banky W, Dammy Krane and rappers M.I. and Ice Prince have also followed suit. The seven superstars have taken the bull by the horns to proclaim their love for the APC Lagos state gubernatorial candidate, Akinwunmi Ambode.... naija
Hujaelewa mada.
Kila mtu ana itikadi yake.
Isipokuwa kwa mtu mwenye mashabiki wa itikadi tofauti hutakiwi kuponda itikadi fulani tena kwa lugha mbovu[/QUOTE)
Mwanzisha thread angeanza kwanza kumkosoa Roma Mkatoliki halafu ndio ahamie kwa Diamond. Sikiliza recent hit ya huyo jamaa kwanza ndio uje unieleze kwanini Diamond tu ndie anaepaswa kupigiwa kelele na sio huyo. Halafu soma posts zote zilizounga mkono thread!
Mwanamuziki ni mfanyabiashara na huduma yake ni kazi za sanaa yake! Ikiwa mwanamuziki amelipwa huwezi kusema eti anatumiwa! Anatumiwa vipi ikiwa amelipwa?Hawa wasanii akili zao ndogo sn,hii serikali kila uchaguz unapofika wanawatumia km Big G,serikali hii ambayo inawakumbuka kwenye kampeni tu imeshindwa kutatua shida za wasanii km vile mauzo ya kazi zao,hati miliki,mikataba na stahiki zngine..,hata km ni maslahi wanapata ni kidogo ukilinganisha pale ambapo wizi wa kazi ungekomeshwa,hatimiliki zingezngatiwa.....hawa ndio malofa na wapumbavu
Ugonjwa WA baadhi yetu Ni uvivu WA kusoma maandishi;kifupi tunapenda kuandika kuliko kusoma.
Kwakua busara nyingi hufichika katika maandishi;bahati mbaya unaruka Na kuja kurudia yaleyale!
Kati yangu Na wewe Nan kakurupuka unarudia kuongea jambo ambalo wenzako wamesha elewa Na kutulia.
Usipende kupapasa kwa kutumia uso wewe!