- Thread starter
- #101
Hatutaki ajali hisia zetu,ila aziheshimu Tu;
Kuwa shabiki WA chama flani sio dhambi ila kuanza kufanya personal attack za maneno ya kejeri hapo ndipo shida ilipo.
Kumbuka sisi ndo tunabeba mabango Na kwenda kumpokea na kumsapport mara kibao pale airpot Mara zote harafu Leo aje atoe maneno ya kebehi Kama yale pasipo kutazama nafasi yake katika jamii dah mbaya Sana.
Awe vyovyote katika chama chake hakuna tatizo lakini Hana haja ya kukejeri mtu ambaye anajua kabisa Kuna baadhi ya fans zake wanamkubali as icon haileti good image bana!