huyo diamond wako kashachuja,,sasa hivi anapiga show za bure kwenye kampeni...hakuna atakaetoa hata buku kwenye show zake
Ccm wana hela, kimfano wame ingia nae mkataba wana mpa let's say 100 millions ku pwrform mpaka uchaguzi upite. Swali.... ana chukua au ana aacha???? Na je ana aacha kwa sababu gani kubwa itakayo mfanya aache???? Kazi yake Ni nini ??? Si usanii? Sasa tuache kelele zaki puuzi mimi ni UKAWA damu.. lakin linapo kuja swala laku mtafutia maisha yule binti yake TIFFA ngoja ale pesa zao za ccm...
At the expense ya kutukana wengine? au sio?
hasira zetu atazijua kwa mfano aitishe shoo sasa ivi aone balaa lake!!! hatuend na wataoenda itakua zomea zomea tu
Hujaelewa mada.
Kila mtu ana itikadi yake.
Isipokuwa kwa mtu mwenye mashabiki wa itikadi tofauti hutakiwi kuponda itikadi fulani tena kwa lugha mbovu
Siwezi rudi ntakua busy ikulu!
Kiukweli hata mm cmpendi diomond coz of lowasa
1. Tiwa savage
2. Davido
3. Dr. Sid
4. Yemi Alade
5. Orezi
Ukitaka nkutajie na wengine nambie...
ROMA kasoma mlimani Computer Science....fatilia mkuu, Refer mathematics ''..me nmesoma PCM sio PCB...'' kende
Mtoto wa kiume anamchukia mwanamme mwanzake sababu ya mwanamme. Hii bongo vijana wa kiume wanaSHANGAza sana.
Mtoto wa kiume anamchukia mwanamme mwanzake sababu ya mwanamme. Hii bongo vijana wa kiume wanaSHANGAza sana.