Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

huyo diamond wako kashachuja,,sasa hivi anapiga show za bure kwenye kampeni...hakuna atakaetoa hata buku kwenye show zake

kwa taarifa yako anafanya megacharges....pesa ambayo anaipwa Diaomond kwenye kampeni hamna msanii bongo ambaye amewahi kulipwa
 
Ccm wana hela, kimfano wame ingia nae mkataba wana mpa let's say 100 millions ku pwrform mpaka uchaguzi upite. Swali.... ana chukua au ana aacha???? Na je ana aacha kwa sababu gani kubwa itakayo mfanya aache???? Kazi yake Ni nini ??? Si usanii? Sasa tuache kelele zaki puuzi mimi ni UKAWA damu.. lakin linapo kuja swala laku mtafutia maisha yule binti yake TIFFA ngoja ale pesa zao za ccm...
 
At the expense ya kutukana wengine? au sio?
 
hasira zetu atazijua kwa mfano aitishe shoo sasa ivi aone balaa lake!!! hatuend na wataoenda itakua zomea zomea tu
 
hasira zetu atazijua kwa mfano aitishe shoo sasa ivi aone balaa lake!!! hatuend na wataoenda itakua zomea zomea tu

Sasahivi upo wapi madongobkuinama???

Umeona show aliyopiga mbagala juzi??

Umeona show yake binafsi ya Zanzibar juzi ngomekongwe???

umeona show yake kupitia mafuriko ya CCM jana zanzibar kwa dr shein???
 
1. Tiwa savage
2. Davido
3. Dr. Sid
4. Yemi Alade
5. Orezi

Ukitaka nkutajie na wengine nambie...

ROMA kasoma mlimani Computer Science....fatilia mkuu, Refer mathematics ''..me nmesoma PCM sio PCB...'' kende

Haaaaahaaa Asante sn! Tupo vzr
 
Last edited by a moderator:
dogo kaingia choo cha kike lazima tumnyooshe hakuna namna!!!
 
Mtoto wa kiume anamchukia mwanamme mwanzake sababu ya mwanamme. Hii bongo vijana wa kiume wanaSHANGAza sana.
 
Mda mwingine inabidi umchukie mtu kwa maslai yako kiukweli sio ajabu kumchukia diamond sawa sawa.
 
diamond cjawaì kumpenda kivle...Alieniudhi ni MwanaFATUMA!!!......watoto wa kiswahili hawaaminiki aisee ata Lowassa atakubaliana na mimi!
 
Back
Top Bottom