Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

Lowassa amenifanya nikuchukie Diamond Platnumz

Hakuna tatizo mkuu Ni jambo jema sina tatizo na Hilo;hata Mimi nilikua namwombea jamaa mafanikio;nilicho toa Ni ushauri Tu huna haja ya ya kuhangaika Na takwimu kwani wewe umesoma statistics?

Wenye akili wamenielewa hili swala Ni la natural conflict Na sio maamuzi ya hiali ndo maana nikashauri kwa faida yake Na si kwa hasara yake;sababu huwezi jua ameafect WA ngapi kwa ishu hiyo cha msingi ilibidi awaze kuwa Kuna maisha baada ya oktoba 25.hilo Tu.

Waswahili wanasemaga usiache mmbachao kwa msaala upitao!

True nimepend mwishoni hapooooooo, yani unaacha ushabiki kisa uchaguzi ambao bado siku arobaini tu!!! tuuzike na kuusahau????

Embe tunda la msimu, usiidharau nazi...

TEAM DIAMOND PLATNUMZ
 
Poa mkuu kweli umeaxha psychological problem kubwa tu kwa wengi ila sio kwa msanii unayemtetea ka unalipwa hafu yeye hajitambui na kusimamia side ya kitu kiko wrong lakini anapindisha nweeeh . Uchaguzi upite tu ila kushabikia wakata viuno stejini ndo mwisho. Wasanii ka kina sugu na Roma msema kweli nitawaheshimu daima.

Hata Mimi sitaki tena kumtetea yule jamaa .

Maana nilishaanza kukosana na watu .

My fellow JF members tusamehane maana daah!!!
 
Hata Mimi sitaki tena kumtetea yule jamaa .

Maana nilishaanza kukosana na watu .

My fellow JF members tusamehane maana daah!!!

Mkuu tupo pamoja, ila penye ukweli ni bora ukosane na watu kuliko kuacha akili ndogo itawale akili kubwa..
 
Nakuelewa Mama.Huyo msanii na mimi tutaonana baada ya uchaguzi.Siwezi kujilazimisha kumkubali kwa sasa.Amesaliti hisia zangu.
Namtakia kila la heri, kura yangu ataisikia redioni.Na makofia yake ya mkeka kama marehemu babu yangu!

Pole sana @mslincoln .

Dawa yao ni kuwaacha wafanye yao.

Wajifiage kimziki ili iwe funzo.
 
True nimepend mwishoni hapooooooo, yani unaacha ushabiki kisa uchaguzi ambao bado siku arobaini tu!!! tuuzike na kuusahau????

Embe tunda la msimu, usiidharau nazi...

TEAM DIAMOND PLATNUMZ

Mi nadhani si poa kujaza hasira hapa nilicho sema ni kwmba automatic Tu am just falling out kuwa fun wake kutokana Na vile anavyo wasilisha hisia zake za kichama katika audience;ambayo Ina mashabiki wake wenye itikadi flani za vyama.

hapo Kama kweli mmeelewa nacho sema nadhani mngeniunga mkono kwamba yeye Kama icon hakukua Na haja ya kuwagawa mashabiki zake kiitikadi kwa kutoa kejeri zinazo affect feelings xa baadhi WA funs wake.

Busara ingetumika katika kuonesha hisia zake,sababu Kati ya itikadi zenye nguvu Ni itikadi ya vyama.

Angefanya Tu yake lakini kuanza kutoa kejeri kwa upande mwingine tena waziwazi you guys must admit that was a mistake!
 
Mkuu tupo pamoja, ila penye ukweli ni bora ukosane na watu kuliko kuacha akili ndogo itawale akili kubwa..

Hshahahah mkuu mi saivi bora nifanye yangu.

Na hao wasanii wafanye yao .

Wajibebe.

They have to suffer the fate.

Ova and out.
 
Lowasa juuuu huyu ndo Rais wetu tushaamua
 
Mi nadhani si poa kujaza hasira hapa nilicho sema ni kwmba automatic Tu am just falling out kuwa fun wake kutokana Na vile anavyo wasilisha hisia zake za kichama katika audience;ambayo Ina mashabiki wake wenye itikadi flani za vyama.

hapo Kama kweli mmeelewa nacho sema nadhani mngeniunga mkono kwamba yeye Kama icon hakukua Na haja ya kuwagawa mashabiki zake kiitikadi kwa kutoa kejeri zinazo affect feelings xa baadhi WA funs wake.

Busara ingetumika katika kuonesha hisia zake,sababu Kati ya itikadi zenye nguvu Ni itikadi ya vyama.

Angefanya Tu yake lakini kuanza kutoa kejeri kwa upande mwingine tena waziwazi you guys must admit that was a mistake!

What is 'funs'?
 
Hshahahah mkuu mi saivi bora nifanye yangu.

Na hao wasanii wafanye yao .

Wajibebe.

They have to suffer the fate.

Ova and out.

I love you jirani.
Tusubiri baada ya october.Nashindwa kujilazimisha mie.
 
Kiingereza kilikuja na mashua.
Wewe mwenyewe huwa unachapia kinoma noma.

Wewe nilikupa offer ya kukupiga darasa la lugha ukakataa. Acha niwasaidie madogo. I never broken.
 
Nmependa Jinsi ulivojieleza. Na kiukwel diamond n boya (ukosefu wa elimu pia unachangia), kwasababu kumponda EL wazi wazi ni kuwafukuza mashabiki wengi wazi wazi

Aliponda mpaka kwenye vitu ambavyo sisi kama binadamu hatuna control mfano kusema Fulani mgonjwa na Fulani mzima-this was total BS kwangu. Effective hiyo siku mimi pia alinipoteza rasmi na sitorudi kamwe at least hakuna wakuniforce kipi cha kusikilia na kipi si cha kusikiliza.
 
Hata Mimi sitaki tena kumtetea yule jamaa .

Maana nilishaanza kukosana na watu .

My fellow JF members tusamehane maana daah!!!
Yani mi nilikuwa namtetea hatari aisee hadi watu huku celebrity tumewekeana vinyongo woi jamani tusameheaneni life liendelee. Mi ndo basi tena kwake aisee
 
Nakuelewa Mama.Huyo msanii na mimi tutaonana baada ya uchaguzi.Siwezi kujilazimisha kumkubali kwa sasa.Amesaliti hisia zangu.
Namtakia kila la heri, kura yangu ataisikia redioni.Na makofia yake ya mkeka kama marehemu babu yangu!
Yani mi ndo kanichosha kabisa namtakia Maisha mema ya kisaniii Mungu amjalie afike level za kina p square davido na zaidi,mi ndo kanitoka labda miaka miwili ipite ndo nirudishe majeshi.
 
Sasa atajali hisia za wangapi? Ajali hisia za Zari, Tiffah, Esma, Mama na wewe piaaa...Hebu mpumzisheni mwana wa mwenzenu.....khaaa

Halafu ungeanza kuchukia ndugu zako woote wanaoshabikia CCM...

#Diamond ulipo nipo, you ll never walk alone...
Mama umeongea pointi hadi natamani ungekuwa karibu yangu nikuagizie CHIBUKU, lakini ndo hivo uko mbali nami.
 
Na mimi nawaambieni siku ambayo DIAMOND atapendwa na wale wanaomchukia ndio utakuwa mwisho wa muziki wake.
 
Back
Top Bottom