Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuzi magumu ni pamoja na kukiri makosa na kujirekebisha. Ameanza kwa kukiri chama chake cha zamani kimepoteza dira na amejirekebisha kwa kuhama na kujiunga na chama kipya. Ameendelea kukiri kuwa msimamo wake wa awali wa serikali mbili haukuwa sahihi na amejirekebisha kwa kuunga mkono msimamo wa chama chake kipya. Hiki ndicho kinachomtofautisha na wanafiki aliowaacha huko alikotoka, hawana ujasiri wa kufanya maamuzi magumu kama alivyofanya Lowassa.
Kichuguu, It takes tremendous fortitude to utter the words ?I was wrong?. The belief held by people that admitting one's action was wrong shows weakness or ineptness is in itself wrong. The danger of that belief, especially when it is held by people in positions of power or authority, is that it backs a leader into defending their poor choices, even when they themselves have come to recognize they were wrong.
Mahaba...napita tu.... watu hawa hawa walio comment leo wamesahau.....
Hii ni sawa na kumlaumu mtu mliyekuwa mnajua kuwa ni mlevi akisema pombe ni mbaya baada ya kuuona wokovu na kuokoka. Binadamu hatuwezi kuendelea kuwa na msimamo wa aina moja hata pale kweli inapotufikia, ukiujua ukweli huna budi kuukana uongo.
Ndio maana tunatubu makosa yetu na kuwa watu wapya.
Kama ungekuwa na uwezo wa kiakili jingalao ningekuambia tafuta kauli za Mwalimu Nyerere 1978/79 juu ya Muamari Gaddafi kisha linganisha na zile za kumhusu mtu huyo huyo miaka kadhaa kabla hajaaga dunia 1999.Huwezi fananisha kiongozi na mlevi hata sikumoja.
Huwezi fananisha kiongozi na mlevi hata sikumoja.