Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

Maelezo mareeeeeeefu, pointi nukta. Umepoteza muda wako bure ni kheri ungelala tu upunguze stress za maisha yako.
 
Siku atayohama Chadema kurudi CCM ama kwenda chama kingine tofauti na chenu nafikiri nyie ndio mtatupatia huo Ushahidi mkuu. Msingi wa tuhuma za huyu mheshimiwa zilianzia upande wenu kwahio nafikiri mna ufahamu mkubwa zaidi kuliko sie ambao sio wajuzi wa haya mambo.
 
Duh
 
Hiyo ya ROCHMOND si alisema alitumwa na JK anavyo vimemo vya order.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…