Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

Huyu Kasori si yule mzee fulani yuko Arusha mlevi na anatishia watu na Pistol? Amekuwa msema ovyo sana na kujisifu!
 
Kama yote hayo bado tu hamuamini juu ya Sifa za EL basi hizo machoni mwenu sio boriti tena bali macho na masikio yenu yamesilibwa na ZEGE!!!!!! hebu fikirieni na wengine kwani LOWASSA TUUUUUUU JAMANI.Mwacheni ale hizo alizochuma bila jasho
 
Siku zote nasema hapa, wapo watu wanaujua ubaya wa EL kutokana na stori za vijiweni. Ukiwaambie watoe ushahidi kuhusu wizi wake wanakaa kimya. Tuache kutuhumu bila ya kuwa na ushahidi. Huo ni ujinga.
 
Mimi napata shida kidogo, kwani huyu KASORI alikuwa wapi muda wote asiyaseme haya anayosema leo mbona hii ni long story ndugu zangu, mimi nasema kuwa hakuna mzazi anayeweza kuwapenda watoto wake wote kwani wanatofautiana na ndivyo ilivyo kuwa kwa LOWASSA kwanini NYERERE hakumpenda, hakuna cha maana cha kushawishi watu wenye akili zao kukubaliana kwani ni mtazamo tu na hisia za binadamu.
 
Akiwa mdhamini wa Uvccm alimpangisha Muhindi jengo la jumuiya hiyo ya ccm kwa miaka 99 baada ya kuidhinisha ujenzi bila kufuata Utaratibu , kesi hiyo ya 'ngedere' akapewa 'nyani' Chenge ambaye wakati huo alikuwa m/kiti wa kamati ya maadili ya CCM ! Akajifunikia kombe ili Mwanaharamu apite , Hebu jikumbushe ugomvi wa Lowasa vs Nape Nnauye !
 
Nikiwa kama mtanzania ninaetafakari juu ya hali ya siasa tz, ninasimama ktk ukweli kusema zaidi ya Richmond hakuna ruhwa yenye mashiko ya kumuhukumu roho ya paka Lowasa!

Mwenye ushahidi wa ufisadi mwingine wa Lowasa auweke hapa! Kama si zaidi ya propaganda za wapinzani wake kisiasa!

amini usiamini, lowasa ni jembe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nani alishiriki umafia wa kumwekea dr.mwakyembe sumu?lowassa ni retired corrupt
 
huyo kasori ni kibaraka wa sitta nani asiyemjua.!
Inawezekana Kasori ni kweli ni kibaraka wa mtu fulani, lakini anayoyaeleza kwenye andiko lake ni first hand information na sisi kama wananchi wa kawaida tunaona ni facts. Nadhani ingekuwa bora Lowassa akanushe kwa facts na si kusema tu hao ni maadui wa kisiasa, nimeonewa, nakubalika, etc. Sikatai, huyu bwana ni mwajibikaji na anadhubutu kutoa maamuzi magumu lakini kwa hulka yake ya tamaa ya mali, kuunda genge la kuifilisi nchi (Rostam, et. al), etc hawezi toka.
 
Who is kasori by the way? Ni waganga njaa jamaa huwa anatembeza bakuli kwa kna sta na membe daily anashnda reception wzaran adi ps wamemchoka hana jipya pia nyerere si mungu ata jk nyerere alkuwa hamtaki...midimu mtahaha sana lakini wa kumzuia lowasa hayupo.....nanukuu maneno ya lowasa kwenye mkutano wa nec 2012 dodoma" rais jk ni kipi usichokijua kuhusu rchmond si nilikuambia hii kampuni haina uwezo navunja mkataba ukakataa ukasema umeshauriwa na makatbu wakuu tusivun je mkataba wa richmond so rchmond ni mali ya jk na famila"
 
Who is kasori by the way? Ni waganga njaa jamaa huwa anatembeza bakuli kwa kna sta na membe daily anashnda reception wzaran adi ps wamemchoka hana jipya pia nyerere si mungu ata jk nyerere alkuwa hamtaki...midimu mtahaha sana lakini wa kumzuia lowasa hayupo.....nanukuu maneno ya lowasa kwenye mkutano wa nec 2012 dodoma" rais jk ni kipi usichokijua kuhusu rchmond si nilikuambia hii kampuni haina uwezo navunja mkataba ukakataa ukasema umeshauriwa na makatbu wakuu tusivun je mkataba wa richmond so rchmond ni mali ya jk na familia" USHAIDI NI DILI/RUSHWA AKNA RTZ WANAZOENDELEA KUPGA KILA IDARA NCHINI KWA SASA
 
Kala jeremia aliimba wimbo wake wa "dear god"..na akakiri kuwa ana dhambi moja tuu ya "kuzini " na sio nyingine.....ndio maana alikuwa anamuomba dear god amsamehe...unataka kusema lowasa hajui kuwa ana-dhambi zipi?...aje lowasa na dear god yake aseme ana-dhambi ngapi ili mungu amsamehe..or else tutatoka na single ya "dear lowasa's god"...tutachafua hali ya hewa ajute kutufahamu.
 
Ni heri huyu anayetengeneza 10 na kula 8 kuliko asiyetengeneza na bado vilivyopo vinapukutika. Hivi 6 na Membe hawakuwahi kutupiana maneno? Umoja wao umetoka wapi? Ni urafiki wa kweli au wa mashaka?
 
Kweli lowasa ni jembe na ni mtu mwenye ujasiri na msimamo ndio maana tunataka apokee hii nchi 2015 kwa sababu nchi imeyumba sana na uchumi umedoroa sana kumbe ata nyerere alijua lowassa ana kiburi na ana msmamo viva Lowassa
 
Back
Top Bottom