Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

Kweli lowasa ni jembe na ni mtu mwenye ujasiri na msimamo ndio maana tunataka apokee hii nchi 2015 kwa sababu nchi imeyumba sana na uchumi umedorora sana kumbe ata nyerere alijua lowassa ana kiburi na ana msmamo​
 
kazi ya moderator wa hili jukwaa ni kuondoa habar yeyote ya membe huwa sjui anawalpa kias gan
 
Ccm fahamuni kuwa kumuweka lowasa kuwa mgombea wenu mjihesabu kushindwa katika uchaguzi mkuu ujao. Taarifa ndo hiyoo. Watanzania wameamka sanaa na dharau yeyote katika ukweli huu mmeanguka tena vibaya. Muache ushabiki wa mtu angalieni maslahi ya taifa kwanza. Tupo wengi ndani ya ccm tusiomuafiki lowasa hata kama anapesa nyingi za kutuhonga kama alivyokwishafanya kwenye wajumbe wengi wa nec ya ccm kiasi cha kila mmoja anamsubiria yeye tu. Mtu huyu hafai...ukweli ndo huo. Mmeze! Msimeze! Shauri yenu. Tafuteni watu makini wasimamie rasilimali za taifa letu walete upinzani wa dhati kutoka kwa upinzani. Mtu huyo akisimama kila mpiga kura aone kuwa anafaa na hana mawaa yoyote.
 
Mwenye data za ufisadi ni Samuel Sitta, Sitta akiongea mbingu zitafunguka. Ndio maana Mamvi anamwogopa Sitta kama mungu baba!!!
 
unakemea tabia ya kusema uongo wakati na wewe mwenyewe unaotumia huohuo????
Kweli Biblia imesema 'kila mtu anaongea uongo dhidi ya jirani yake'
 
Wengi wa members mnaojitahid kumsafisha EL mlikua humu JF wakat wa saga ya richmond mbona hamkuuliza kuhusu ushahidi na kusema kwamba ni shujaa?acheni unafiki ahiitaji kuwa genius kujua nini kinaendelea!
Yes
 
Lowassa anawaumiza sana CCM ,ukitaja tu neno au jina LOWASSA hadi Rais wa nchi anashtuka ,taasisi zinashtuka hivi ni kwa nn,inawezekana mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
 
unaweza ukatengua kauli yako mkuu!!
 

CCM waliusikiliza vyema ushauri wako.... Chama sikivu
 
 
Lowassa anawaumiza sana CCM ,ukitaja tu neno au jina LOWASSA hadi Rais wa nchi anashtuka ,taasisi zinashtuka hivi ni kwa nn,inawezekana mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
we ukiliona Jambazi hushtuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…