Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Shida ya Lowasa mwenendo wake siyo mzuri ni mwizi na roho mbaya mpenda visasi kwa watu aliowahi kukosana nao.
 
Naomba mungu anisamehe lowasa sitaki hata kumsikia mzee mchafu sana.
 
Ndio Maana WAANDISHI wa HABARI wa TANGANYIKA hamtapata JOURNALISM AWARDS... Kwasababu Mmekalia kwenye UMBEA, CHUKI, na kudharauliana...

Sasa kama ni hivyo hao watoto inasemekana wote ni Matajiri ni kwanini unaelemea upande Mmoja ??

Kwenye NCHI ZENYE DEMOCRASIA ya kweli hii inaitwa DIRTY POLITICS...

c.c njenga karume
 
Huu uzi hauna faida ni majungu tu. Vilevile JK sio malaika lazima kuna vitu na yeye anamkosea Lowasa. Hawa ni marafiki na urafiki wao umechangia kwa kiasi kikubwa kutufikisha hapa tulipo.
 
Anaitwa Edward Lo-Sata.... Mutu gonjwaaaa sana....huyu atakuwa rais wa nchi ya kusadikika...kapania sana urais tatizo lake,waswahili wanasema mkamia maji hayanywiiii, Amini maneno yangu hatoyanywa kamweee
 
usipoteze muda wako ndugu huyo sio mtanzania.
 
kumbe lowassa aling'atuka uwaziri mkubwa 2010! kweli tanzania tunafikiri kwa kutumia masaburi
 
Ndg Simiyu,Lowassa anawapambe wengi sana,wengi wao pia ni waliberaliii na wengi wao wanafikiria kwa kutumia masogange.....acha wafu waZikane, baada ya kura za maoni Dodoma nadhani hata wiki haifiki tutakutana monduli( Kama sio juhudi zakeeeeee babaaaaa)
 
Huu uzi hauna faida ni majungu tu. Vilevile JK sio malaika lazima kuna vitu na yeye anamkosea Lowasa. Hawa ni marafiki na urafiki wao umechangia kwa kiasi kikubwa kutufikisha hapa tulipo.

Mkuu hawa watu wa ovyo sana, wanachofanya wanajaribu kila namna kuchonganisha, hata hivyo JK sio malaika kama unavyosema, na kama binadamu lazima watofautiane mawazo na fikra....Mkapa alishawai kusema mkiwa watu zaidi ya wawili then hamtofautiani mawazo kuna mambo mawili either wote hamfikiri au wote ni wanafiki....Hivyo Lowassa na JK kutofautiana inaonyesha lowassa sio mnafiki hata kidogo...
 
Itabidi Hao Waliogombana Watajwa Hapo Juu Ndiyo Wachangie Uzi Huu Na Sisi Akina Pangu Pakavu TUTULIE!
 
Ridhiwan alishasema kuwa JK hana Ugomvi wowote na Lowassa bali Wapambe ndo wanajaribu kuwafitinisha!... Lowassa nae anasema kuwa yeye na JK hawakukutana Barabarani!

JK anasema rafiki yake alipata ajali ya kisiasa tu kama ilivyokuwa kwa Mwinyi enzi zile akiwa waziri wa mambo ya ndani!!! .... Jiulize kwa kina ilikuwaje Sitta akataka kutimuliwa kwenye Chama? Ukweli ni kuwa Wanafiq wote walikwisha julikana ...

Sasa hakuna wa Kumzuia Lowassa asiwe Rais wa JMT....
 
Anaitwa Edward Lo-Sata.... Mutu gonjwaaaa sana....huyu atakuwa rais wa nchi ya kusadikika...kapania sana urais tatizo lake,waswahili wanasema mkamia maji hayanywiiii, Amini maneno yangu hatoyanywa kamweee

Akili za WAMA hizo....imeandikwa katika maandiko matakatifu kwamba, usimhukumu mwenzako nawe usipate kuhukumiwa.....kwa taarifa yako Lowassa yuko fiti ile mbaya, na yuko site anatafuta ushindi kwa asilimia 100, nyie mtapiga majungu humu ila wazee wa kazi wako site kutafuta ushindi wa asilimia 100...
 
Back
Top Bottom