Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

Ya RICHMOND alidai muda ukifika atasema. Sasa huo muda ni upi tena?

Hata hii press conference, ilidaiwa kuwa atayazungumzia hayo mambo, lakini badala yake akasema siyo muda wake!

Na kesho hapo clouds fm ngoja tusikilizie Kama atayeyusha tena!
 
Hakika mvumilivu hula mbivu... Lowassa atakuwa wa mwisho kuondoka kwenye chama chake!! Akina Nape et al wajiandae kwenda CCJ...
 
Huwa najiuliza, kamati hii chini ya Mwakyembe kwanini haikumuhoji Lowassa kipindi kile? Nini kiliwazuia? Hivi unamtuhumu mtu halafu humuambii ajitetee bali unaishia kumfunga tu!? Enyi wanafunzi wa Mwakyembe, ndivyo anavyofundisha sheria na katiba?

Sasa taifa limebaki kugaa gaa kwa kukosa ukweli japo taifa liligharimia mabilioni kuilipa tume ya Mwakyembe, na hii ni laana ambayo inalitingisha taifa, na inaonyesha athari ya kazi za kulipua zinazofanywa na wasomi wetu.
 
Kama Lowasa sio dhaifu kwa nini hakwenda mahakamani kudai haki hiyo???
 
kabla ya hayo,mwakyembe kama msomi hakujua maana ya fair hearing
Lowasa alikuwa waziri Mkuu ambaye ni karibia rais wa nchi
Iweje yeye aonewe harafu ashindwe kujitetea kisheria ???
Sasa akiwa rais anaweza nini???
 
Basi ulizike wewe. Hakuiba ila alisimamia wizi maana alikiri mwenyewe kawamba hamna ambacho alikifanya bila mkulu kujua
 
hata kitendo cha kuwa na kina Rostam, kinamchafua

bado mko enzi za ujamaa ambapo matajiri walichukiwa, pengine hamjui kwamba ujamaa haupo na ni hao akina rostam ndio wameajiri ndugu zenu waliokosa kazi serikalini,hapo ulipo hata housegirl huna
 
huwa najiuliza kamati hii chini ya mwakyembe kwa nini haikumuhoji lowasa kipindi kile? nini kiliwazuia? hivi unamtuhumu mtu halafu humuambii ajitetee bali unaishia kumfunga tu!? enyi wanafunzi wa mwakyembe,ndivyo anavyofundisha sheria na katiba? sasa taifa limebaki kugaa gaa kwa kukosa ukweli japo taifa liligharimia mabilioni kuilipa tume ya mwakyembe..,na hii ni laana ambayo inalitingisha taifa,na inaonyesha athari ya kazi za kulipua zinazofanywa na wasomi wetu,najua @moderators watauacha huu uzi ili maswali kuhusu hili yapatikane na taifa liupate ukweli wote

Nadhani ufahamu wako ni finyu sana, Kamati ya Mwakyembe ilikuwa ni kamati teule ya Bunge, haikuwa kamati ya kutoa hukumu ilitumwa kuchunguzwa uhalali wa Richmond kisha ikawasilishwa Bungeni. Bunge likajadili na waziri mkuu akapewa nafasi ya kusema upande wa serikali akaishia kusema nimeonewa sana na nimedhalilishwa sana na kisha kutoa tamko la kujiuzulu kwa nini asingetumia nafasi kufunguka na kutoa hoja zake????
 
walichunguza na kumtuhumu waziri mkuu binafsi bila hata kufanya mahojiani nae, the right to heard,wangemsikiliza wangekuja na balanced conclusion, sasa unamwita fulani mwizi na unatoa adhabu halafu ndipo unamwomba maelezo.
 
Nadhani ufahamu wako ni finyu sana, Kamati ya Mwakyembe ilikuwa ni kamati teule ya Bunge, haikuwa kamati ya kutoa hukumu ilitumwa kuchunguzwa uhalali wa Richmond kisha ikawasilishwa Bungeni. Bunge likajadili na waziri mkuu akapewa nafasi ya kusema upande wa serikali akaishia kusema nimeonewa sana na nimedhalilishwa sana na kisha kutoa tamko la kujiuzulu kwa nini asingetumia nafasi kufunguka na kutoa hoja zake????
walichunguza na kumtuhumu waziri mkuu binafsi bila hata kufanya mahojiano nae, the right to heard,wangemsikiliza wangekuja na balanced conclusion, sasa unamwita fulani mwizi na unatoa adhabu halafu ndipo unamwomba maelezo.
 
Utaratibu wa uchunguzi haulazimishi kumhoji mhusika, mtuhumiwa unaweza ukatazama mazingira na kisha ukadroo conclusion. Kumhukumu mtu ndipo sheria inahitaji kwamba kabla mtu kuhukumiwa ajitetee. Kamati Mwakyembe haikua na chembe ya kosa katika kuchunguza. Kama bunge halikumpatia nafasi Lowasa ya kujibu tuhuma dhidi basi lilifanya makosa hata hivyo Lowasa alipatiwa nafasi yeye akaishia kulalamika bila kujenga hoja na aliona the best option ni kujiuzulu.
 
hapo ninaweza kuamini,otherwise ni fitina ndizo zilimfanya ashindwe kumuhoji mtuhumiwa mkuu
Tatizo kubwa la fisadi EL hana uwezo wa kujenga hoja hata ingawa ana uwezo wa kukwapua na anataka aheshimiwe. kamati ya mwakiembe ndani ya bunge ilimpa nafasi kubwa ya kueleza kilicho tokea na kusahihisha uhusika wake katika sakata zima. . Na ujue kuwa tuhuma nyingi za kama zilikwenda kwa watu wa chini ya EL siyo EL mwenyewe, ila yeye aliambiwa APIME KAMA ANASTAHILI KUENDELEA KUWA WAZIRI MKUU. kama angelikuwa ni mtu mwenye akili timamu na mjuzi wa kupambanua mambo na kujenga hoja ndiyo ulikuwa wakati wa kutirirka kweli kweli. Lakini kwa sababu ya kutojua kujieleza na ufinyo wa akili yake, akakimbilia kulalamika na kulaumu. Nadhani kuandika barua ya kujiuzulu alikuwa anatishia akitegemea JK atakataa. Lakinin Jk alipoona huyu ni mjinga badala ya kujileza bungeni kitu kilichotokea anataka kujiuzulu, anakuwa msaidizi wa namna gani huu. Akampiga fagio.
 
Back
Top Bottom