Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Elections 2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

Uongo sio mzuri, Leo haikuwa ratiba ya geita ila mamia ya wanageita walikuwa wanamsubiri ikalazima chopa ishuke ili akawasalimie na akawaambia atakuja siku iliyopangwa

Hii ya kushusha choppa awasalimie ni uongo mtakatifu....mahaba niueeeeeeeee
 
Uongo sio mzuri, Leo haikuwa ratiba ya geita ila mamia ya wanageita walikuwa wanamsubiri ikalazima chopa ishuke ili akawasalimie na akawaambia atakuja siku iliyopangwa
Angalia avatar yake utagundua kuwa ni mtu mwenye husda na gubu. Msamehe bure
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

Mmesha maliza kununua wakaa uchii...oooh sorry wasanii!!!! Pia muwe mnamkaririsha makomeo kabla ya kupanda jukwaani ajue rais wa libya ni gaddafi na sio saddam....
 
Geita mjini geita vijijini nyangwale na busanda ratiba yao sio leo
 
Wamejisahau kumuongezea chaji

Kama ww ulivyosahau kumpatia pombe kidesa chake cha kukaririsha....maana kadhalilika kutamka saddam ni rais wa Kuwait.....ndo maana lowasa anasema elimu elimu elimu tena bora maana wasomi wetu hawana tofauti na lasaba.....
 
mkuu unajua huyu jamaa walivyo mkata dodoma wakajua wamemuweza...sasa nya inagonga .........
alilo panga mungu wawo na kamatii kuu mara sijui nec hawawezi kulizuia...sasa mnakuwa wapinzani very soon. na-imagine bungeni akina mchemba, watakuwaje jamanii.

Lizaboni sio bure ww taarifa zako za uongo siku hz vp? Kimya
 
kinachonifanya niseme hakuna mabadiliko ni ubabe ni tabia ya wagombea na wafuasi wa kina mwafulani mtaa wa saba waaiopenda kukoaolewa na likitokea jambo baya lao lisizungumzwe mpaka wanachama wameambukizwa huo ugonjwa wakiwa serikalini itakuwaje?? narudi nyumbani aisee hawa watani sio
 
Acha uongo pumbavuuu. ..
 
Attachments

  • 1442419863924.jpg
    1442419863924.jpg
    60 KB · Views: 1,001
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mheshimiwa lowasa alifika kiwanjani saa 11 na dkk 20. Lakini tukaambiwa mzee anaahirisha mkutano mpaka siku ingine, wakati tunajua huwa hatumii zaidi ya dkk10, kwa nini asingehutumia, mamia ya watu wanalalamika kuwa hawatoi tena kura kwa lowasa, wamekasirika kwa kumsubiri tangu asubuhi halafu ameshindwa kuongea nao..

Yarrab ninusuru na ugonjwa wa yule bondi muhammad Ally wa marekani
 
Back
Top Bottom