Elections 2015 Lowassa kuandika historia ya pili jijini Mwanza kesho

Elections 2015 Lowassa kuandika historia ya pili jijini Mwanza kesho

Huyo Asprin yeye ni Shareholder wa Wadokozi Ltd...

Na wewe fisadi mtoto je?Nina wasiwasi na wewe sana,haiwezekani uishabikie CCM iliyooza kiasi hiki....
Huenda umeahidiwa kitalu cha gesi,sio bure!
 
Last edited by a moderator:
Huku ni mwanzo mwisho na utashuhudia,watu washachangishana nauli za mafuta kwenda na kurudi kutoka mkutanoni kwa pesa yao, Kama watarusha live hapo ndipo utanielewa nifah. Nakukumbusha tu kuwa hii ndiyo ilikuwa ngome Sugu ya CCM miaka nenda rudi, mheshimiwa Masha kabla hajavua gamba alinyang'anywa ubunge tena akiwa waziri wa mambo ya ndani (kama sijakosea) pamoja na nguvu nyingi walizotumia. Wasukuma pamoja na upole wetu wakisema "ndoho twalemaga" hapo ndipo utawafahamu kwa nini wanajiita "ngosha".

Nakuaminia best yangu,hata wasipoonesha sina shaka na habari yoyote kutoka kwako.
Nasubiria mambo yenu kesho.
 
Mwanza last time mlideki barabara , this time mmeamua kutandaza zulia za khanga na vitenge....

Kwa hakika Lowassa ndiye Rais wa Nchi hii.....
 
Huku ni mwanzo mwisho na utashuhudia,watu washachangishana nauli za mafuta kwenda na kurudi kutoka mkutanoni kwa pesa yao, Kama watarusha live hapo ndipo utanielewa nifah. Nakukumbusha tu kuwa hii ndiyo ilikuwa ngome Sugu ya CCM miaka nenda rudi, mheshimiwa Masha kabla hajavua gamba alinyang'anywa ubunge tena akiwa waziri wa mambo ya ndani (kama sijakosea) pamoja na nguvu nyingi walizotumia. Wasukuma pamoja na upole wetu wakisema "ndoho twalemaga" hapo ndipo utawafahamu kwa nini wanajiita "ngosha".
chu duchagula ccm gete? dalogagwa na nani?
chii bhebhe nangh,o
 
Leo mji uko full shangwe sijui kesho itakuweje
 
lowasa jembe letu mi japo ccm cwez mpigia kura magufuri nisamehe ndg yng kwa kukusaliti tatizo lowasa jembe ndo maana nakutenga ccm
 
Can't wait kuona mambo yenu wana Mwanza,je mtawafunika wakurya walivyotisha jana?
Wapi Dinazarde?
BTW luckyline nakupendaga sana,nikija Mwanza nitakucheki nawe ukija Dar nicheki,napenda wadada wanaojitambua kama wewe.
Mwanza hatujawahi disappoint just keep breathing, kesho si mbali feedbacks tutakupa za siku best
 
Last edited by a moderator:
abho bhadebhasukuma nkoi,oise dodechagulaga ntemi ongw'aka ohoh,kura jise pyee dolengw'ina lowasa.
 
liccm doho gete!!dwalemaga oise,dolengw'ina lowasa eekura jise!
 
Sijui kwanini namuonea wivu luckyline?

Mimi niko Dar nicheki basi tupange mkakati wa kuwachagua Lowassa na Halima Mdee:A S-rap:

ahaaaaa mie na wewe tena sina ubavu kwako. Subiri kesho urtaniona ntakavyokuwa nimependezaaaaa mpaka bas
 
Last edited by a moderator:
Mwanza = na + Mikutano mitatu ya Dar + Arusha + Kilimanjaro + Mara tatizo tulilonalo huku dadaangu ni eneo la kufanyia huo Mkutano tu.

Ukibahatika kuona Mikutano ya General Wenje tena ya kwenye Kata akiwa anamnadi Mgombea Udiwani ndio utajua Mza hakuna CCM.

Wamachinga na Bodaboda wa Mwanza huwezi kuwaambia chochote kuhusu CCM wakakuelewa ila walikua wanamkubali Lowassa ilihali alikua CCM na kuna Mti ulipandwa na Lowassa Makoroboi akiwa bado yuko CCM huwezi amini huo Mti wanautunza kama Mboni ya macho yao(Ombi langu kwenye Ratiba ya kesho mjitahidi mumpeleke akaumwagilie Mti wake)

Pia Mwanza ndio chimbuko la heshima wanayopata Machinga kwa sasa Nchini kwani hata Uongozi wa Taifa uko Mwanza.

Shukrani za pekee ziwaendee General Wenje na Liberatus Karoli Kabaila(R.I.P) kuna Uzi nilipost humu siku ya kifo chake.

kweli kamanda ebu nifikishe ujumbe lazima mti huu aumwagilie maji kesho.
 
Can't wait kuona mambo yenu wana Mwanza,je mtawafunika wakurya walivyotisha jana?
Wapi Dinazarde?
BTW luckyline nakupendaga sana,nikija Mwanza nitakucheki nawe ukija Dar nicheki,napenda wadada wanaojitambua kama wewe.

Mwanza ninavyowafahamu, Arusha, moshi, mbeya, tarime siyo level ya mwanza. Mwanza inatisha sister.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom