Elections 2015 Lowassa kuandika historia ya pili jijini Mwanza kesho

Ndugu yangu mbona unakuwa mnafiki upande wa pili umekuwaje acha ushobo mbona mimi nipo mwanza sijaona hayo watu muwe kwenye ofisi za vyama harafu mseme kuwa wana mwanza

wewe gamba pepo limekuandama subiri kesho mafuriko yatakusomba mpaka victoria
 
Musoma vijana wanaosha barabara ili lowasa apite sehemu safi
 

Attachments

  • 1444558675621.jpg
    29.1 KB · Views: 286
Vijana wakisafisha barabara
 

Attachments

  • 1444558779037.jpg
    24 KB · Views: 256

ahaaaaaaaa umenivunja mbavu rb inakuhusu
 
kama hutojali shoga mp wasap nikurushie manjonjo ya maandalizi yaani ni zaid ya utamu. Staki kurushaa hapa kabla ya tukio lenyewe ahaaaa watu na madila yetu kesho ni kukatika mpaka basiiiii.

Karibu mwanza nkupikie sato

Hapo kwenye sato umenigusa zaidi.

Nami naunga tela.
 
Hakika kesho zamu ya mwanza wataandika historia mpya mgombea uraisi kupitia CHADEMA kipenzi cha watanzania Edaward Lowasa atakuwepo atafanya mkutano wa kuwaeleza wananchi wa mwanza atawafanyia nini wakimchagua kuwa raisi wa Tanzania.
Sipati kesho mwanza itakuwaje?




LOWASA HUYO ANAKUJA NA TANZANIA MPYA
 
ilo tumeshalifanyia kazi niko jikoni nakuakikishia ccm iko icu

Aisee Mwanza hawataki ccm kabisaaa kila kona ni Lowassa Lowassa, nimetoka kula lunch Gold Crest kila mtu ni Lowassa daah, huyu mzee ana damu kama Obama yani ilivyokuwa wakati wa uchaguzi 2008, Uko mwanza sehemu gani? Mie nimekuja kusalimia wazee hapa Capri-point kesho nitakuwa msitari wa mbele na kina Nzungu vivaa Lowassaaa raisi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…