Kuna taarifa kuwa JK amekubaliana na Lowassa na atamteua wakati wowote kuwa waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania.
Patafanyika mabadiliko madogo ya cabinet soon.
Nimeona niwamegee kidogo , kwaherini.
Ni vibaya sana kutetea mafisadi! Lowasa ni moja ya mafisadi waliokwisha julikana na kuwekwa wazi hata hivyo ukweli unabaki palepale kwamba Kikwete hawezi kufanya kazi bila Lowasa. Toka Lowasa ajiuzuru kasi ya utendaji wa Serikali umepungua sana, Pinda hajaweza kabisa kutosheleza nafasi ya PM. Pinda amekuwa mwongeaji kama Kikwete tofauti na Lowasa ambaye alikuwa mtendaji. My opinion ni kumwondoa Kikwete kwasababu hawezi kazi na siyo kumwingiza Lowasa Serikalini, tutachekesha sana.
Haipendezi kabisa kuona kuwa huu ni ukweli ambao.... its about to take place.
Ni upuuzi ambao ...hata kma ni ndoto na hata kama haitakuwa hivyo...but ukiunganisha dots..and all the intelligents za ....upu pu unatokea nchini...ni jambo linalowezekana kabisa....WHY NOT.
Ok Fine...!
Sisi watu wakuchezewa kama magunzi...!
But!
Jk atakuwa amefanya upuuzi huu mapema sana. Mchana kweupeee!!
Hana hata subira kidogo watoto wakalala kwanza?
Na
Hamaki kama hizo we really need them...maanake kwenye probabilities...zina kiasi kikubwa sikumoja zikamdumbukiza kwenye... massive blind mistake. God be with us...!
Binafsi nasema ruksa mh. Kikwete kumpigia pande hili mtaalam edo maana baada majeraha yale mazito anapaswa kuangaliwa kama muhanga nambari wani kwa chama chake na serikali ya awamu ya nne, jk tupatie mpiganaji huyu ndani ya baraza, tumuone akitetea hoja za nje kwa madaha na ujasiri wa simba aliyejeruhiwa.
Karibu
Nakubaliana na wewe Nziku kwa asilimia kubwa. Jk na Edo ni damudamu ni muda tu jamaa atarudi kwenye Gov. tena kwenye post nzuri tu kwani Jk anahuzunika moyoni best wake hayupo nae kuna waziri mmoja wa baraza lililopita wakati edo amejiuzulu alifanya part ya kushangilia kuanguka kwa edo JK alimwambia anfanya sherehe ya kuangunga best wake edo na hatakuja pata cheo tena na ilitokea waziri huyo hakupata tena uminister na wengi walishapredict edo atarudi kabla ya Dec time will tell
Kuna taarifa kuwa JK amekubaliana na Lowassa na atamteua wakati wowote kuwa waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania.
Patafanyika mabadiliko madogo ya cabinet soon.
Nimeona niwamegee kidogo , kwaherini.