Lowassa kuwa waziri mambo ya nje!?

Lowassa kuwa waziri mambo ya nje!?

Status
Not open for further replies.

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,210
Kuna taarifa kuwa JK amekubaliana na Lowassa na atamteua wakati wowote kuwa waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania.

Patafanyika mabadiliko madogo ya cabinet soon.

Nimeona niwamegee kidogo , kwaherini.
 
duh udaku au??au kwa vile Pinda jana hakumgusa kati ya wanao hojiwa?na wewe ukaunganisha dot.....Ok ngoja tuvute subira zaidi zaidi mods ipeleke kwenye udaku hii.
 
Kama kuna njama za kumfitini huyu bwana basi nadhani jk yuko mbele yetu zaidi na ninaona wazi mkuu ametizama mbali na sasa anaijenga himaya yake kwani ukiisoma ripoti ya utekelezaji pinda na timu yake wamemaliza kazi ya kumsafisha mheshimiwa lowasa, jk needs him ktk harakati zake za kisiasa na sasa anampatia mtaalam lowasa chance ya kujiosha nje ya mipaka maana yeye ali resign ku rescue serikali kama ilivyosemwa huko awali yeye, mh.rais, baadhi ya wana ccm, m/kiti wa kamati ile dr.mwakyembe na sasa pinda amemaliza kazi rasmi.

Mleta hoja umefanya jema na sisi tuuchukulie msimamo wa sirikali yetu vile tutakavyoona yafaa kwa umma wetu lakini ni vema tuamini yale wakuu wetu wanayoyabainisha hususani baada ya hitilifu.

Binafsi nasema ruksa mh. Kikwete kumpigia pande hili mtaalam edo maana baada majeraha yale mazito anapaswa kuangaliwa kama muhanga nambari wani kwa chama chake na serikali ya awamu ya nne, jk tupatie mpiganaji huyu ndani ya baraza, tumuone akitetea hoja za nje kwa madaha na ujasiri wa simba aliyejeruhiwa.
Karibu
 
Binafsi nasema ruksa mh. Kikwete kumpigia pande hili mtaalam edo maana baada ya majeraha yale mazito anapaswa kuangaliwa kama muhanga nambari wani kwa chama chake na serikali ya awamu ya nne, jk tupatie mpiganaji huyu ndani ya baraza, tumuone akitetea hoja za nje kwa madaha na ujasiri wa simba aliyejeruhiwa.
Karibu
 
Kuna taarifa kuwa JK amekubaliana na Lowassa na atamteua wakati wowote kuwa waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania.

Patafanyika mabadiliko madogo ya cabinet soon.

Nimeona niwamegee kidogo , kwaherini.

Haki sawa,

Mkuu unachekesha sana, naomba uache utani wa namna hii, tena haipendezi mkuu, haya umeyatoa wapi? ama ndiyo mkuu umenong'onezwa na Membe?
 
Ni vibaya sana kutetea mafisadi! Lowasa ni moja ya mafisadi waliokwisha julikana na kuwekwa wazi hata hivyo ukweli unabaki palepale kwamba Kikwete hawezi kufanya kazi bila Lowasa. Toka Lowasa ajiuzuru kasi ya utendaji wa Serikali umepungua sana, Pinda hajaweza kabisa kutosheleza nafasi ya PM. Pinda amekuwa mwongeaji kama Kikwete tofauti na Lowasa ambaye alikuwa mtendaji. My opinion ni kumwondoa Kikwete kwasababu hawezi kazi na siyo kumwingiza Lowasa Serikalini, tutachekesha sana.
 
Nakubaliana na wewe Nziku kwa asilimia kubwa. Jk na Edo ni damudamu ni muda tu jamaa atarudi kwenye Gov. tena kwenye post nzuri tu kwani Jk anahuzunika moyoni best wake hayupo nae kuna waziri mmoja wa baraza lililopita wakati edo amejiuzulu alifanya part ya kushangilia kuanguka kwa edo JK alimwambia anfanya sherehe ya kuangunga best wake edo na hatakuja pata cheo tena na ilitokea waziri huyo hakupata tena uminister na wengi walishapredict edo atarudi kabla ya Dec time will tell
 
Nafikiri hawa waheshimiwa walichanjana damu wakaapa kama tuonavyo picha za ki-Nigeria sasa kukiuka kiapo hicho cha damu inakuwa rabsha kubwa. Ningependekeza katiba ibadilishwe na viongozi waape kwa damu zao kwani inaonekana kiapo hiki ni effective sana. Jamani na haya ni manufaa binafsi. Tena kulindana!
 
Kwa kuangalia mambo ya Tanzania na CCM mimi naona hii habari huenda ikaja kuwa kweli.

Huenda baadaye kidogo tu JK akamrudisha Lowassa kwenye baraza la mawaziri.
 
..Lowassa aliachiwa laana na Baba wa Taifa, lakini hiyo haikumzuia Mkapa kumrudisha kwenye cabinet.

..sasa mnafikiri hii laana ya Mwakyembe itashika kweli?

..tena msubiri na Msabaha, mtu wa pwani kama Kikwete, naye atarudi kwenye nafasi kubwa.
 
Haipendezi kabisa kuona kuwa huu ni ukweli ambao.... its about to take place.

Ni upuuzi ambao ...hata kma ni ndoto na hata kama haitakuwa hivyo...but ukiunganisha dots..and all the intelligents za ....upu pu unatokea nchini...ni jambo linalowezekana kabisa....WHY NOT.

Ok Fine...!

Sisi watu wakuchezewa kama magunzi...!

But!

Jk atakuwa amefanya upuuzi huu mapema sana. Mchana kweupeee!!

Hana hata subira kidogo watoto wakalala kwanza?

Na

Hamaki kama hizo we really need them...maanake kwenye probabilities...zina kiasi kikubwa sikumoja zikamdumbukiza kwenye... massive blind mistake. God be with us...!
 
Am even too scared to post a comment if these is real gonna happen!How can he do these to the people of these nation?
Kama JK ametuchoka kiasi hiki basi tena!Kweli akifanya hivi lets fight yaani I dont know how but a plan has to come in action!
We can not be made fools forever!
Am vexed beyond control!
 
Lowassa akirudi serikalini chini ya Kikwete utakuwa kati ya uamuzi wa ajabu kabisa. Maana sio tu utamwumiza Kikwete bali na CCM kwa ujumla. Huo mpasuko sio kwamba tu "wapinzani watanawa mikono bali na kula watakula".

Nasema itedhiirisha kwa mara ya ngapi tena (anybody counting?) ya kwamba tunahitaji mabadiliko ya viongozi na tunahitaji haraka sana.

...Najiuliza je hii inaweza kuleta hasira kali iwafanye watanzania waamke? Maana kweli nataka kujua ni nini haswa kitamfanya mtanzania atoke usingizini na kupigania haki yake.

Aliyesema kasafishwa nani? Maana kama maji ya kumwoshea ni machafu na yananuka atatakataje?
 
Binafsi nasema ruksa mh. Kikwete kumpigia pande hili mtaalam edo maana baada majeraha yale mazito anapaswa kuangaliwa kama muhanga nambari wani kwa chama chake na serikali ya awamu ya nne, jk tupatie mpiganaji huyu ndani ya baraza, tumuone akitetea hoja za nje kwa madaha na ujasiri wa simba aliyejeruhiwa.
Karibu

Jobu Diskripsheni: Kumalizia jukumu la Kitaifa la kuleta mvua kutoka Thailandi!Ipo Kazi!
 
Nakubaliana na wewe Nziku kwa asilimia kubwa. Jk na Edo ni damudamu ni muda tu jamaa atarudi kwenye Gov. tena kwenye post nzuri tu kwani Jk anahuzunika moyoni best wake hayupo nae kuna waziri mmoja wa baraza lililopita wakati edo amejiuzulu alifanya part ya kushangilia kuanguka kwa edo JK alimwambia anfanya sherehe ya kuangunga best wake edo na hatakuja pata cheo tena na ilitokea waziri huyo hakupata tena uminister na wengi walishapredict edo atarudi kabla ya Dec time will tell

kama kikwete anampenda sana lowasa,kwa nini hasimuowe awe mke wa tatu
 
Kuna taarifa kuwa JK amekubaliana na Lowassa na atamteua wakati wowote kuwa waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania.

Patafanyika mabadiliko madogo ya cabinet soon.

Nimeona niwamegee kidogo , kwaherini.

If this is true, then Kikwete will be making his bigest political blunder of his times...! How can you re-appoint a person who has resigned from your leadership then you continue to embrace him...? Don't we have other better and qualified MP who can be appointed to that possition? By the way, do we need a replacement to that postion now?

If he is to appoint Lowasa to that position it will in addition to tunishing down Kikwete politicaly, but also turnish and redicule the image of Tanzania abroad because we shall be condemned that our International Public Relation helm is under the Corrupt alledged culprit...! Kikwete needs to be wise on this...!
 
Hivi unafikiri Membe atakubali kuondoka hapo? Hebu acha hizo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom