wasanii ni watu mahiri wanaweza kugeuza ukweli kuwa mzaha, na mzaha kuwa ukweli, tusibishe hili, lowasa ni msanii mwenye digrii ya usanii,kikwete ni msanii mwenye uzoefu mwingi kwenye siasa za usanii. mtakumbuka kuwa waliweza kutufanya wote tumchukie sumaye kwa kwenda mbele. sasa watafanya usanii mwingine utamkuta lowasa ndani ya ikulu.