Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Safari hii tutasika mpaka kisa cha kufungwa kwa babu sea.
 
Binafsi namuona Lowasa kama trilionea, hasa baada ya kuzawadia kumzawadia mchungaji Helcopter ya kama bilioni (vijisent).
ningepewa nafasi ya kumshauri, ningemwambia aachane na mambo ya siasa astaafu ale maisha yake kivulini.
Hiyo direction wanayo taka achukue huwa haipo duniani kwa mtu wa nafasi yake....itamgharimu (sio hela) na haweze kuriverse alisha ichukua.
 
Haisaidii kumsema vibaya mtalaka wako ili bwana mpya akupende
 
Chadema si walisema hawatapokea makapi? Iweje sasa wameeudia matapishiyao?
 


Àhhhhhhhhhhhha, haji na balali kwenye press conference????
 
Hawezi kuthubutu hilo by the way tangu mwanzo alishindwa nn mpaka aseme anayotaka kusema kwa sasa, ilhali 2huma aliyokuwa akituhumiwa alikuwa akiisikia na ndiyo ambayo iliyowapa nafasi wenzie wamkate kiwepesi bila hata ya kupepesa jicho. Kipindi cha kujisafisha was then and not now, amekwishachelewa sana.
 
Cdm kwa kutafuta cavarage hamjambo sasa mmemvamia mzee wa watu na uchovu wote huo ili tuu muuze
 
nothing like that LOWASA hatahama ccm hata iweje alisema hajawahi fanya kazi nje ccm kamwe
 
mwanaume kuwa mbea haipendezi
 
Dar es salaam haifanani hata kidogo na Windhoek
 
unapoambiwa anatoa ukweli juu yayale mnayofikiria nimabaya yake vp usieleww au unaugomvi na lowassa?
 
Pumbafu zenu! Watu hatujawahi kuwasikia hata mara moja mara leo mmekuwa ni wasemaji wa CHADEMA na Lowassa, kulikoni? hebu kaeni mbali na CHADEMA.
 

Hana jipya laiti angekuwa mkweli angejibu swali la richmond Arusha kama alivyo ahidi pale Dodoma mbele ya waandishi wa habari.
Na kama kweli ataajiunga na CDM basi nitakidharau zaidi chama hicho.
Nitashangaa nitaona nisawa na mtu kula matapishi yake.
CDM kupitia viongozi wake akiwemo Mbowe na Dr slaa wametumia midomo yao muda mwingi kutufahamisha ufisadi na kutukubalisha kama mh Luwasa ni fisadi.
Sasa leo akijiunga na CDM wataruambia nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…