Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Je, ni tumaini la watanzania dhidi ya ubeberu na udhalimu na majizi yaliyokubuhu ya CCM?
 
Mkuu hata viongozi wa juu wa chama hujui idadi yao na makabila yao sasa unafaida gani kwenye chama kama huwajui hata viongozi wako. Chadema ni taasisi hivyo inajisimamia kama ulitaka nikubali ccm imeshindwa kuwawajibisha basi kubali kwanza taasisi yenu haiwezi kujisimamia mpaka ccm iwasimamie.

Mkuu wewe naona kiswahili kinakupa sana shida,kwani siku ile nilivyokukuta kigoma ndio ulikuwa unatoka Burundi? Nimesema hivi cdm inawatumishi na viongozi toka sehemu zote za Tanzania,cdm haina wala haitakuwa na sababu ya kujua kabila ya kila mtumishi wake.tunacho jua ni kuwa wana cdm wote ni watanzania.siyo kama chama chenu na wakala wenu kuwahesabu wakimbizi wa nchi jirani eti ni wanachama
 
Ni maneno mazuri tu mbona? Wala hakukuwa na haja ya kuyaleta humu jamani. Ina maana hata akisikika anasalimiana na mtu mtatuletea humu?
 
UKAWA KUINGIA IKULU KUPITIA LOWASA –STRIKER HATARI.
Baada ya CCM kuibua striker hatari Magufuli ni zamu ya UKAWA kumtumia stiker Lowasa kuwapatia ushindi wa uhakika. Kuingia kwa Magufuli katika kinyang'anyiro kwa uraisi bila shaka ni dalili mbaya kwa UKAWA tumaini la watanzania.
Ili UKAWA washinde ni heri wamchukue Lowasa. Siasa za kuingia ikulu mwaka huu ni aina ya siasa za Kenya. Ni lazima vyama vya upinzani viungane ili kuiondoa CCM madarakani.
Tatizo la nchi hii ni mfumo wa CCM, ili kupata katiba mpya, nchi ya Tanganyika, tume huru ya uchaguzi, unafuu wa maisha ni lazima CCM iondoke madarakani. Mpatieni Lowasa kipindi kimoja tu cha urais atakuwa amesaidia kuiondoa CCM madarakani na kuizika kabisa ndipo UKAWA mtajitawala kabisa na joka kuu mtakuwa mmelimaliza.
Kupitia Lowasa, UKAWA watapata wabunge wengi kabisa baadhi yao kutoka CCM, na hivyo kuidhoofisha CCM. Lakini pia UKAWA waungane na ACT ili kazi ya kuizika CCM imalizike na ndipo muanze kujipanga upya.
Kuhusu ufisadi, kutokana na mfumo CCM watanzania wengi hakuna usafi wa kutosha. UKAWA mtakataa mafisadi kwani ninyi mmefanya ufisadi mngapi watu wamekaa kimya? Hata CCM kuna mafisadi lakini bado wanaendelea kuishi nao. Tatizo ni mfumo. Mfumo ukibadilishwa matatizo yaliyopo yatakuwa historia.
Katika mapendekeza ya uongozi wa serikali ya ukawa. Rais –Lowasa. VP –Duni, PM –mbowe, spika –Slaa, AG –Lissu, Fedha –Zitto, Ujenzi na Bandari –Mbatia. Mambo ya nje –Lipumba. Nafasi badi ni nyingi sana. Shirikiane kwanza mtapata kila kitu. Kizuri kula na ndugu yako.
Majimbo mtakayofaidi 1. Kigoma yote. 2. Arusha yote. 3. Kilimanjaro yote. 4. Dar es salaam. 5. Mbeya. 6. Manyara.7. Pemba yote. Majimbo ambayo Mtakayogawana nusu kwa nusu na CCM ni . 1. Mwanza, shinyanga, tabora, tanga, iringa, morogoro, mtwara, Ruvuma, njombe, katavi, simiyu, Mara. Mtakayopigwa sana na CCM ni Geita, Dodoma, singida, pwani
Hatimaye Tanzania mpya itapatikana. Msiipuuze nguvu ya Magufuli. Umoja ni nguvu. Hima hima UKAWA CHUKUA NCHI KUPITIA LOWASA.

Ameshakatwa huyo mnahangaika nini?
 
UKAWA KUINGIA IKULU KUPITIA LOWASA –STRIKER HATARI.
Baada ya CCM kuibua striker hatari Magufuli ni zamu ya UKAWA kumtumia stiker Lowasa kuwapatia ushindi wa uhakika. Kuingia kwa Magufuli katika kinyang’anyiro kwa uraisi bila shaka ni dalili mbaya kwa UKAWA tumaini la watanzania.

Namuunga mkono 100% ... JK amemfanyia Uhuni .... Mtaji anao wakutosha, Sababu anazo, nia anayo .... Hakika CCM itapasuliwa tu ...
kweli UKAWA mmepagawa
akili yenu yote mlijua CCM itamuweka Lowassa
km si hivyo mbona mnachachawa
kwani 2025 ni mbali
huyo jamaa yenu kasema ataipasua CCM atamleta Balali
na kutuelezea ya Mgimwa tena mbunge wa Ubungo alitaka kulieleza Bunge
Mtoto wa Mgimwa akakataa
sasa Lowassa awaite hao waandishi aipasue CCM km hakukuta ndiyo anaiiimarisha
 
attachment.php

huyu jamaa anajiona mungu mtu,kama vile bila yeye tz haitatawalika.
kachunge ngombe wako we mmasai,bado tu hukubali hutakiwi na hao wanakufuata wanakulia pesa tu.
 
Mzee Lowassa

Natumaini unaendelea kujikongoja baada ya a bitter defeat. Lakini nikukumbushe - haya pia yatapita. Mwisho wa siku yote yatapita.

Kumbuka -Jambo la muhimu kuliko yote kwa mtu yoyote ni familia. Bado unayo familia yako iliyo kuwepo na itakayokuwepo.

Kumbuka - Bwana ndio mchungaji wako hutapungukiwa na chochote

Madhumuni ya barua hii ni kukumbusha kile kitabu maarufu cha THE ART OF WAR BY SUN TZU.

Katika kitabu kile Tzu anaandika kuwa, you must know how to choose your battles and you must choose your battles carefully. Sio kila vita lazima upigani. Zingine ziache zipite.

Katika issue hii ya urais, you have won some battles and you have lost battles. But overall you are loosing the WAR.

Nakushauri uache sasa. Usiendelee kupigana. You are loosing the WAR!

Iache vita hii ipite Mzee.

Umeongea point sana why unasema ahache mapambano yake?
Ninachoona hapo yeye anahamini anaweza timiza ndoto zake za kuongoza taifa ili muache apambane tuone mwisho wake ni wapi.
 
Akihama CCM kwanza kesi ya Richmond inafufuliwa na CCM, kesi itaendeshwa na hukumu kutolewa ndani ya wiki moja, kisha ataswekwa ndani akampe kampani Mramba na Yona. We chezea chama dola. Na yeye alikuwa huko huko

Unahisi ni nani mwenye uwezo wa kufufua kesi ya richmond hili hali muhusika mkuu anajulikana
 
Back
Top Bottom