Tetesi: Lowassa nchini Kenya tena

Kwanini usiwaulize wakenya wenyewe wanaojua sababu unatuuliza Sisi acha umbea Wewe fisiem Kweli nyie bado manyani
 
Wewe mtoa mada lini wamekukata mkia na kukuingiza kwenye zizi la ng'ombe?, mimi nakujua wewe ni ukawa, au kuna mtu anachezea akaunti yako

Yaani bora MKWEPA KODI umenisaidia maana nilikuwa nawaza sana juu yake, kumbukumbu zangu zinaonyesha si mfuasi wa CCM sasa nilipoona hii thread nimejiuliza sana. Ahsante umeniweka kichwa kimekuwa sawa
 


Anahudhuria kama mtu mhimu sana Africa Mashariki, Pia ni mshindi wa uchaguzi mkuu ulopita ndiyo maana majirani zetu wanamtambua Viva chama kipya cha kenya,

Usishangae ya Kenya hujawahi sikia chama kinaitwa CCJ kiliwahi kuanzishwa na wanachama nguli wa CCM.
 
Hujawahi ona ujerumani na Israel vyama huungana kuunda serikali baada ya uchaguzi kwisha? We umekariri muundo wa vyama vya Tanzania tu? Mbona Malawi rais aliunda chama chake na kukiacha chama kilichomwingiza madarakani? Soma international news upate kujua mambo
 
Nayajua hayo lakini sio jambo la kujivunia hata kidogo
 
jubilee party hawakumwalika LOWASA as physical body bali as the MAN OF PERSONALITY AND CHARACTER, lakini pia ni lowasa pekee ndie gwiji wa siasa around east africa kwa sasa,why not....
 
Utaratibu mzuri kuwa na muungano wa vyama vingi . Sheria zao zinaruhusu na ni utaratibu mzuri kuunganisha watu wenye ukabila mbele.
Hata hapa kwetu inatakiwa sheria zibadilishwe ili vyama viweze kuungana official kwa ajili ya uchaguzi
CCM wanajua kufanya hivyo itakuwa kujipalia makaa wacha iwe hivi hivi kuungana kwa tamthiliya.
 
CHADEMA inashirikiana na ODM...

Kuna mahusiano makubwa kati ya Magufuli na RAO...

Uchaguzi ujao huenda Jubilee Party ikashirikiana na CHADEMA...

Ndivyo siasa ilivyo, acha kulia humu...
 
Labda kwa sababu alileta mchuano mkali kipindi cha uchaguzi mkuu mwaka 2015 kwa chama tawala.
 
Ukiwaza kama ccm utashindwa waza kama mtanzania
 
Wewe wewe usiwe kumlinganisha lowassa na mtu wakawaida Lowassa ni maji mengine
 


sijaona uhusiano wa uzi wako na hitimisho lake, kwani chama hakina haki ya kuteua mmoja kati ya viongozi wake kukiwakilisha?!! mbona JPM anawakilishwa kila kukicha? Bora ungehoji kwa nini EL aalikwe na chama tawala cha nchi jirani?! lakini pia anaweza kuwa amealikwa binafsi kama yeye; mbona JPM aliwahi kualikwa na ODM kipindi cha uchaguzi na wala sio CCM?!
 
Unaamini alinunua Chadema sababu amealikwa kwenye uzinduzi wa chama kipya ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…