Tetesi: Lowassa nchini Kenya tena

Anaweza kualikwa kama waziri mkuu wa zaman wa nchi jirani aliyelazimika kutoendelea na uwaziri mkuu kutokana na kashfa ya Richmond
mtu anaweza kupewa heshima kupitia kazi alizofanya zamani. yeye alikuwa waziri mkuu.
Wako watu wengi maarufu wanapata heshima kama hizi
 
mjomba ngoma ya wengine wewe waivalia kanga... uoni aibu dume zima
 
Karibu WA Chama ndo nani?
 
Nafikiri sababu kuu ni hekima yake, busara zake na akili zake timamu
 
Mkuu suala la kuunda chama kipya au kiongozi aliyeko madarakani kuamia chama kipya au kuanzisha chama kipya bila kulazimika kupoteza nafasi yake inategemea tu na suala la katiba na sheria za nchi husika.Kwa akili yako umeanza kujiona kuwa katiba ya nchi yako ni ya nchi zote. Hivi mkuu Odinga kule chato alienda kama nani vile?Niliona pia akisindikizwa na Mkulu wa huku pale kwenye intaneshino eyapoti hivi alikuwa kama nani vile? Haya malizia hapa
1.Rafiki ya adui yako ni ........... (50 marks)
2.Adui wa rafiki yako ni ............(50 marks)
 
A
Acha uchochezi wewe
 
Nauliza tu, Magufuli alipoenda kumfanyia kampeni Raila Odinga alienda kama nani?
 
Typical ccm na divide and rule tactics 🙂 🙂 sorry no way with UKAWA OR CHADEMA.
 
Ifahamu siasa ya Kenya vizuri itakusaidia kujibu maswali yako. Siasa ya Kenya iko kiukabila Sana. Watu wanaprefer kuchagua mtu toka kabila Lake kwanza. Uhuru na Ruto wanatoka vyama tofauti, Uhuru anatoka Chama kinaitwa TNA ambacho kinanguvu Sana kwa kabila la kikuyu, Ruto anatoka Chama kinaitwa URP ambacho kina nguvu katika kabila la wakalenjini. But wote waliungana na kuform coalition kama ya kwetu hapa UKAWA, wao wakaiita Jubilee collation. NOW wanataka wavunje mfumo wa makabila na vyama waunde Chama kimoja chenye nguvu kitakachounganisha makabila yote Kenya ndio maana wakaita Chama kipya Jubilee party. Note that ingawa wanaunda Chama kimoja lakini vile vya Zamani bado havijafa coz bado kuna watu wanamsimamo hawataki kutoka katika hiyo vyama.
 
Hoja yako ingekaa vzr sana ungehoji kwa nini sasa Rais wa Kenya hamwaliki Rais mwenzie kutoka Tz katika jambo kubwa hilo badala yake anamwalika huyo Mtu. Hapo tungepata majadiliano kuhusu uhusiano wa dhati kati ya JPM Admin na Uhuru Admin in the EAC Politics.

Huko ulikojengea hoja yako kuna nipa picha ya mitazamo yenu ya kuchokoana kwenu kisiasa kuwa ndiyo lengo lako. Lets think big.
 
Mwenye Sherehe ndie mwalikaji.Sasa Ni kwa nini Lowassa kawaulize wenye sherehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…