Elections 2015 Lowassa: Sina pesa, hizi nachangiwa na marafiki zangu

Mkuu unapiga chenga bure

1. Rostam Azizi (wealthiest)
2. Andrew Chenge (nyoka wa makengeza)
3. Anna Tibaijuka (hela za mboga)
4. Nazir Karamagi (TICT,s)
 
Sasa happ ndo ninapochoka wote hao wapo kwenye list ya mafisadi.ivi akipita si itakuwa balaa maana lazima alipe fidia
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

  1. Bernard Membe
  2. Makongoro Nyerere
  3. Stephen Wassira
  4. January Makamba
  5. Mwigulu Nchemba

Hao Tajwa Hapo Juu Ndiyo Wadhamini Wakubwa Wa Team Lowassa.
 
Unataka na wewe ukaombe? "Hawajakutana barabarani"!!!!!
 
Akiingia madarakani atawalipa fadhila za uchumi wetu
 
Wadhamini wakubwa ni mimi na wewe ambao tunalipa kodi halafu mafisadi wanaiba kodi zetu then wanamchangia.
 
Mkuu unapiga chenga bure

1. Rostam Azizi (wealthiest)
2. Andrew Chenge (nyoka wa makengeza)
3. Anna Tibaijuka (hela za mboga)
4. Nazir Karamagi (TICT,s)

Watu wanasema ukitaka kujua tabia za mtu angalia rafiki zake. Edo tushamjua kutokana na list hiyo ya rafiki zake.
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.

chenge wa kwanza jana kampokea bariadi kampeleka gamboshi
 
Naomba kuwafahamu kwa majina hao marafiki wa lowassa wanaompa huyu jamaa mapesa mengi hivi ya kuchezea.inaelekea wana roho nzuri sana,maana hata katka siasa za USA hakuna matajiri wanaomwaga pesa kiholela namna hii.
Kwa kweli matajiri wanasaidiana na matajiri wenzao,sijui kwanini hawataki kuwasaidia maskini,kuna dogo mmoja ni yatima wa Babati kafukuzwa chuo cha Ualimu Arusha kisa kashindwa kulipa ada na michango mbalimbali ya chuo.Kazunguka kila kona kakosa msaada,lakini kuna matajiri wanatoa tu mapesa kusaidia matajiri wenzao lkn wakiombwa wasaidie hawa maskini wanajifanya hawana hela.Je kweli kuna nia njema hapa kweli?
 
Sasa happ ndo ninapochoka wote hao wapo kwenye list ya mafisadi.ivi akipita si itakuwa balaa maana lazima alipe fidia
Ndiyo maana yake, atalipa 'mkopo' aliopewa na hao wafadhili wake, plus na 'indirect' riba isiyopungua 500%
 
Lowassa kila anacho kifanya anasema amechangiwa na marafiki zake, sawa siyo dhambi lakini hawa marafiki wa Lowassa ni akina nani na wana maslahi gani katika kuhakikisha kuwa Lowassa anaenda ikulu?

Na akishaenda ikulu watapata faida gani? lazima tujiulize kwa sababu tunajua rekodi ya uadilifu kwa Lowassa ni sawa na kumtafuta bikra labor.

Sote tunakumbuka kuwa mtu huyu ana marafiki wasiokuwa waadilifu na ni watu ambao ni wakwapuaji,lazima tujitathimini ili tusije kuuza nchi kwa marafiki wa Lowassa na genge lao.
 
mafisadi papa wenzake wakina rostam hao tunawajua kwa majina ata akificha mambo yapo wazi, na Rais magufuli ataanza na hao wawili.....
 
Marafiki wa Lowasa, ni tibaijuika, chenge, ngeleja, mkuu wa kaya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…